Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,798
- 218,439
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ji kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima .
Nashauri atimuliwe haraka
Subiri afukuzwe ukuu wa mkoa hata familia yake watamfukuza,Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ji kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima .
Nashauri atimuliwe haraka
Madhara yake utayajua
Wala haihitaji mkutanoSasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ji kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima .
Nashauri atimuliwe haraka
swali la kijinga sana !kwani simba ina mechi za kucheza marekani?
kwani simba ina mechi za kucheza marekani?
Ndiye mshauri mkuu wa Mo katika kununua marefa so hawezi kufukuzwaSasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya binadamu wenzake hafai si kwa simba tu , bali anapaswa kutengwa hata kwenye nyumba za ibada .
Nashauri atimuliwe haraka
Duh !Ndiye mshauri mkuu wa Mo katika kununua marefa so hawezi kufukuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshauri kwenye kuhonga marefa, kupuliza dawa vyumba vya timu pinzani, ushirikina nk
Ushauri mzuri lakini kwani kuna mkutano ulimteua au kuna mtu tu alimteua kwenye twitter na kama kutengeluwa kwenye twitter.Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia haki ya kuishi ya binadamu wenzake hafai si kwa simba tu , bali anapaswa kutengwa hata kwenye nyumba za ibada .
Nashauri atimuliwe haraka