Muhimu sana: vinginevyo utakufa na stress

Gwajima

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
253
406
Baada ya siku yenye msongamano wa mambo tafadhali punguza msongo wa mawazo hivi

1. Mabata madogo madogo yanaogelea, yana ogelea, katika shamba zuri la bustani.

2. Yanapenda kutembea bila viatu, bila viatu, katika shamba zuri la bustani.

3. Yanapenda kulia kwakwakwakwakwakwa, kwakwakwakwakwakwa katika shamba zuri la bustani.

Uwe na siku njema:

Sasa saa yakwenda kwetu, kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana keshoo, Ahsante Mwalimu kwa kutufundishaaa.

Nduki
 
Sawa mkuu naona nimepunguza stress kidogo mkuu,

Vip mkuu mbona siku hizi umekua kimya sana , au ndo biti LA kamati ya maadili ya bunge
 
Sawa mkuu naona nimepunguza stress kidogo mkuu,

Vip mkuu mbona siku hizi umekua kimya sana , au ndo biti LA kamati ya maadili ya bunge
Mimi sio Askofu Gwajima, mimi ni yule asiyeyumbishwa na akili maandazi.
 
Mimi sio Askofu Gwajima, mimi ni yule asiyeyumbishwa na akili maandazi.
Wewe ni Gwajima bhana! Hata maneno na matendo yako, yanathibitisha hilo! Vipi unaturuhusu waumini wako kuchanja, au tuendelee na msimamo wa kutochanja ili tusigeuke kuwa Mazombie hapo baadaye?

Karibu Baba Askofu kwa neno!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom