MUHIMU SANA: supplier anatafutwa

MUHIMU SANA: supplier anatafutwa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,686
Tunatafuta supplier kwa ajili ya kusuplly products kwenye restaurants zetu ambazo zipo masaki na mlimani city..
Tutaanza na products moja ya PICKLES:
Picha yake hii hapa kwa asiyeijua.. Then kama utakuwa na uweZo tutakupa nafasi ya kusupply na products zingine.
Ni pm kama unaweza ama kama unajua mtu ambaye anaweza akafanya hii kazi ..
Ni muhim sana
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    9.5 KB · Views: 708
Nitafute kwa namba 0756756122 or 0682798686 mimi ni Marketing and Sales manager.Kampuni yetu ni MUYUNGA GENERAL SUPPLIES Tuko kariakoo.

 
Kuna jamaa wanajiita Ngongoseke ngoja nitafute namba zao naona ni wazuri kwa kusupply veg.
 
Back
Top Bottom