otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 136
- 235
Muhimu ninepata pa kushinda.😂😂
Kodi ya " pango"😅Sasa utalipa kodi ya pango kwa bidhaa zipi? Mbona shelf tupu? Au una bidhaa nyingine unayotembea nayo?
Duh..! Bidhaa anayotembea nayo?!!!Sasa utalipa kodi ya pango kwa bidhaa zipi? Mbona shelf tupu? Au una bidhaa nyingine unayotembea nayo?