Kuna binti ajukikanae kama AMINA KAUMO aliajiriwa na Sido Lindi amesoma CBE na sasa anasoma Masters Mzumbe Unverity campus ya Dar es salaam hatumii vyeti vyak halisi anatumia vyeti vya ndugu yake ambaye ni mwajiriwa wa CHUOKIKUU HURIA,ambae jina lake kiukweli ni Amina Kaumo.Binti huyu Amina Kaumo feki amba jina lake ni Moza Ramadhi Ally Kaumo,ni mkazi wa KIJITONYAMA KARIBU NA POLISI MABATINI(KWA MAMA CHILINGA).binti huyu kaanza kutumia vyeti hivyo visivyo vyake pale alipoanza kusoa CBE,na alipata kazi SIDO,akala rushwa na na kesina TAKUKURU na sasa kaona aendelee na kusoma MASTERS MZUMBE UNIVERSTY campus ya Dar-es -salaam katika kitivo cha BIASHARA
Swala Hili la kutumi vyeti vya ndugu na vya kina marehehmu lime kua sugu na wenye sifa na waliohangaika na kusoma na wana vyeti vyao vya halali wanadoda majumbani.
Swala Hili la kutumi vyeti vya ndugu na vya kina marehehmu lime kua sugu na wenye sifa na waliohangaika na kusoma na wana vyeti vyao vya halali wanadoda majumbani.