Kinachoibeba Mzumbe university na kuonekana ni bora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinachoibeba Mzumbe university na kuonekana ni bora

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NasDaz, Oct 16, 2010.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  [FONT=&amp]Si mara moja wala mara mbili nimepata kusikia ubishi ni chuo gani bora kati ya Mzumbe University na UDSM! Hii wala si aina ya mada ambazo navutiwa nazo lakini nimelazimika kujitumbukiza baada ya kukutana na mtoto wa sister angu ambae anatarajia kujiunga SUA mwezi ujao! Kimsingi, she is not comfortable with SUA; nilipomuuliza ni kwanini akadai kwamba SUA si bora ukilinganisha na Mzumbe au UDSM! Yeye chaguo lake ni Mzumbe kwavile anaamini ndio chuo bora kwa hapa TZ! Yaani Mzumbe ni bora kuliko SUA au UDSM![/FONT]

  [FONT=&amp]Tukiacha ushabiki (wa kwamba chuo ulichosoma ndio bora) pembeni, ubora wa Mzumbe hauufikii ule wa SUA achilia mbali UDSM! Ukweli ambao ni mchungu kuumeza ni kwamba SUA ni bora kuliko Mzumbe na UDSM ni bora kuliko SUA![/FONT]

  [FONT=&amp]Najua siwezi pata shida kuwashawishi watu kwamba UDSM ni bora kuliko Mzumbe; lakini naweza hata kutupiwa mawe kujaribu kuwaambia wadau kwamba SUA ni bora kuliko Mzumbe! Kwavile ni ngumu kuwashawishi watu (sio wana JF pekee; bali hata wale walio nje ya JF) kuamini kwamba SUA ni bora kuliko Mzumbe lakini ni rahisi kuwashawishi watu kwamba UDSM ni bora kuliko Mzumbe; basi ni bora nikaijadili Mzumbe na SUA![/FONT]

  [FONT=&amp]Awali ya yote ningependa ku-declare kwamba nami ni product ya SUA ingawaje sitarajii kuwa bias katika maoni yangu![/FONT]

  [FONT=&amp]Watu wanashindwa kutofautisha kati ya umaarufu na ubora! Hakuna ubishi kwamba Mzumbe ni maarufu mno kuliko SUA! Sababu za jambo hili nitalieleza baadae. Wakati SUA ipo within the circumference of Morogoro township(about 2.5 km from town centre); Mzumbe ipo some miles away from the township! Lakini pamoja na kwamba Mzumbe ipo mbali sana na mji kuliko SUA; lakini wakazi wengi wa Morogoro mjini wanaifahamu Mzumbe kuliko SUA! Ni umaarufu huu wa kutisha wa Mzumbe ndio unaofikia watu wazani kwamba Mzumbe ni bora(nazungumzia ubora wa elimu) pengine kuliko UDSM!!![/FONT]

  [FONT=&amp]Kwanini naamini kwamba SUA ni bora kuliko Mzumbe!! Sina hakika ni vigezo gani muhimu vya kuzingatia katika kuangalia ni chuo gani bora ukilinganisha na vingine! Hata hivyo, vyovyote iwavyo, bado suala zima la wahadhiri (lecturers) wenye sifa linaweza kuwa ni moja ya vigezo muhimu. Pamoja na wahadhiri, kigezo kingine muhimu kinaweza kuwa facilities (mahabara-for versities with science subjects, lecture halls, libraries, books etc!)[/FONT]

  [FONT=&amp]Kabla sijaandika thread hii, nilianza kuzipitia prospectus za Mzumbe na SUA. Kitu nilichogundua, department nyingi za SUA, uwiano wa Wahadhiri wenye PhD na wale wenye Masters umepishana mno! What I mean ni kwamba wenye PhD(tena wengi wao ni Senior Lecturers-kwa maana kwamba wamechukua PhD hizo miaka kadhaa iliyopita na wana uzoefu wa kutosha) ni wengi mno, zaidi ya 80% ya wale wenye Masters! Si hivyo tu, wengi wao wamechukulia Masters na PhD zao ama UK au Australia na wachache German na USA! [/FONT]

  [FONT=&amp]Nilijaribu kutafakari uwepo wa idadi kubwa maradufu ya wahadhiri wenye PhD ukilinganisha na wale wenye Masters! Kwa mtizamo wangu, nimeona mambo mawili yamechangia SUA kuwa na PhD holders wengi. Kwanza, kuna kila dalili kwamba wale waliokuwa wanasoma shahada zao za kwanza (ambazo nyingi zake enzi hizo ni za Kilimo) walikuwa hawataki kufanya kazi zinazoendana na fani yao! Kama si hivyo, basi inawezekana kabisa hata hizo ajira zenyewe kwao kupata ilikuwa shida kwavile hatukuwa na kilimo cha ku-accomodate graduates! Kwahiyo si ajabu, wengi wao walikuwa wana-opt kurudi tena darasani na kuchukua Masters na PhD! Sababu nyingine ni kwamba, I guess wafadhili wengi walipendelea zaidi kuisaidia TZ kwenye suala zima la maendeleo ya kilimo, hivyo hii iliwapatia graduates wa SUA kupata scholarship kirahisi kwenda nje ya nchi kusoma![/FONT]

  [FONT=&amp]Likewise, SUA wana some monopoly power kutokana na kuwa the sole agricultural university in TZ! Hivyo basi, msomi yeyote wa kilimo na forestry anaye-opt kuwa lecturer atakuwa hana option(otherwise, ata-enjoy limited option) zaidi ya kwenda SUA! Hii nayo ina-play kama comparative advantage kwa SUA kuweza kuhodhi idadi kubwa ya wasomi wa aina yake tofauti na wasomi wa fani zingine![/FONT]

  [FONT=&amp]In contrast, Mzumbe hawana neema hii iliyopo SUA! Hata ukiangalia prospectus yao, wahadhiri wenye Masters ndio wengi zaidi kuliko wale wenye PhD! [/FONT]

  [FONT=&amp]Hili nalo halijatokea kwa bahati mbaya, bali ni la kihistoria! Mzumbe imekuwa University miaka michache tu iliyopita-about 20 years tangu SUA iwe full university! (SUA ilikuwa independent University on July 1984, lakini kabla ya hapo kilikuwa kinatoa university degrees kwa mgongo wa UDSM! c.f the former Muhimbili/UCLAS na UDSM or DUCE/MUCE na UDSM!) Kabla ya hapo Mzumbe ilikuwa ni Chuo cha uongozi! Kutokana na hilo, nature (aina) ya wanafunzi iliokuwa inadahili si wale ambao baadae wangeweza kuendeleza elimu yao na kuwa ma-lecturers! Wengi wao walitoka na maofisini na baada ya kuhitimu, walirejea makazini kuendelea na ajira zao. Hivyo, hawakuwa na sababu ya kuendelea kujitesa kwa kusoma elimu za juu (Masters+PhD) wakati walikuja pale kwa lengo tu la kung'arisha CV zao! [/FONT]

  [FONT=&amp]Hata baada ya kuwa university about 7 years ago, Mzumbe wamekosa monopoly power waliyokuwa nayo SUA kwakuwa nyingi ya programu zake zinapatikana kwenye vyuo vingine kama UDSM na IFM ambavyo vinafanana kwa umaarufu na Mzumbe. Na utitiri wa vyuo unaoibuka hivi sasa na kujizolea umaarufu tena pengine kuliko hiyo SUA unakuwa kikwazo kingine cha Mzumbe kupata wahadhiri wengi wenye sifa (PhD holders) kwavile wana option ya kwenda UDSM, UDOM, IFM, Tumaini, SAUT n.k![/FONT]
  [FONT=&amp]Hivyo basi, utaona kwamba, kwa kigezo cha wahadhiri wenye sifa, Mzumbe inagalagazwa vibaya mno na SUA na UDSM! Yeyote atakayeacha ushabiki, bila shaka ataubaini ukweli huu in a second![/FONT]

  [FONT=&amp]Kwa hapa sioni sababu ya kujadili suala la Maabara kwavile nature ya programmes za Mzumbe sio zile zinazohitaji maabara. Labda suala la tafiti(researches conducted)! Ingawaje sina defending points, bado sitapata shida kusema SUA wamefanya tafiti nyingi zaidi kuliko Mzumbe! Pamoja na mambo mengine, nature ya programmes za SUA zina-attract kufanya researces ( na research funds) zaidi kuliko zile za Mzumbe. Umri wa vyuo hivi nao unaweza kuwa hoja ya kuifanya SUA iwe imefanya tafiti nyingi kuliko Mzumbe![/FONT]

  [FONT=&amp]Kwanini Mzumbe ni maarufu mno kuliko SUA?! [/FONT][FONT=&amp]Jibu lake ni jepesi mno! Program za asili pale Mzumbe ni za wapiga domo(Wanasiasa)! Wengi wao ni wale waliosomea masomo ya arts ambao kwa asili ni wapiga domo! Na ndio maana hadi leo hii endapo watu tutaulizwa ni wasomi gani wanatoka UDSM, basi wengi wetu tutawataja wale wanaotoka departments za History, Political Science na Law kwavile ndio pekee wanaopenda kuuza sura kwenye TV na vyombo vingine vya habari! Ni nani anaweza kututajia wasomi toka Faculty of Engineering ya UDSM? Kuna ma-PhD holders kibao lakini hawafahamiki! Ni nani anaweza kututajia wasomi wa Muhimbili University? Ni nani anaweza kututajia wasomi wa Ardhi University? Ni wa-TZ wangapi wanafahamu juu ya kuwepo kwa Muhimbili na Ardhi ya University? Nature ya taaluma zao si za kupiga domo! Leo hii Ikulu ikilipuliwa, Profesa Baregu au Profesa Xavery watakaa chonjo kusubiria mwaliko wa vyombo vya habari ili wahojiwe na wao kutoa maoni yao jambo ambalo halitatokea kwa ma-profesa wa ama SUA, Ardhi au Muhimbili![/FONT]

  [FONT=&amp]Hivyo basi, kinachoibeba Mzumbe sio ubora wa chuo, bali ni umaarufu wake uliotokana na sababu nilizoainisha hapo juu![/FONT]   
 2. m

  muhulo Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja mkuu. Afu muulize huyo ndugu yako asiwe amesha pewa story za sap na discont achilia mbali pass mark ya SUA. Afu kama ni mchukia hesabu( introd.statistics) asihofu yote yanawezekana. Otherwise anakalibishwa Mazimbu
   
 3. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Mkuu uzuri unaelewa maana ya mgawanyo wa kazi (division of labor). Hao unaowaita wapiga domo hiyo ni tafsiri yako kwa uelewa wako lakini wao wako kwenye kazi yao. Ndio maana huwezi kukuta Prof. Kabudi, Dr. Bana, Gen. Shimbo au Prof. Emeritus Mpambalyoto wakiingiza kwenye filamu au wakicheza sarakasi kama THT
   
 4. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  ni bahati mbaya sana umenielewa vibaya kama utahisi ni kashfa! Inawezekana isiwe lugha sahii lakini nilichomaanisha ni kwamba nature ya kazi yao ndio hiyo!
   
 5. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa sana Mkuu, hoja yangu ni kuwa hakuna kazi ya kupiga domo, zote ni kazi na zina majina yake. Tunatakiwa kujifunza kuelewa kazi za wengine kwa mtazamo chanya hata kama ni mambo ya "the oldest profession"

  Prof. Emeritus. Mpambalyoto
   
 6. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  wasalimie, binafsi nilimtahadhalisha kuhusu genetics na botany!
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Udsm the great,mzumbe aaaahjina tu lakini in deep its nothing
   
 8. sandet

  sandet Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Nachofahamu ubora wa chuo ni pamoja na products zinazotoka. Wanafunzi wengi wa SUA, ni bora na wanajituma sana wakiwa makazini ukilinganisha na kutoka vyuo vingine.

  Hii inatokana na ubora wa elimu inayotolewa katika chuo kile. Mwanafunzi GOIGOI akienda pale hata Semester moja hamalizi.
   
 9. M

  Mashi Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Top 100 Universities of Africa is listed here according to their ranks. The university title is linked to the official website of the respective university. Therefore, if you need more information on the university then you may click on the title of the Unviersity. As of 2009.

  1. University Of Cape Town, South Africa
  2. Rhodes University, South Africa
  3. Stellenbosch University, South Africa
  4. University Of Pretoria, South Africa
  5. University Of The Witwatersrand, South Africa
  6. University Of The Western Cape, South Africa
  7. University Of South Africa, South Africa
  8. University Of Kwazulu Natal, South Africa
  9. American University In Cairo, Egypt
  10. Universite De La Reunion, Reunion
  11. Nelson Mandela Metropolitan University, South Africa
  12. University Of The Free State, South Africa
  13. Cairo University, Egypt
  14. Universite Cheikh Anta Diop De Dakar, Senegal
  15. University Of Zimbabwe, Zimbabwe
  16. Universite Abdelmalek Essadi, Morocco
  17. Institut Universitaire De Formation Des Maitres De La Reunion, Reunion
  18. University Of Mauritius, Mauritius
  19. University Of Johannesburg, South Africa
  20. Universite Cadi Ayyad, Morocco
  21. Strathmore University Nairobi, Kenya
  22. University Of Dar Es Salaam, Tanzania
  23. University Of Namibia, Namibia
  24. Polytechnic Of Namibia, Namibia
  25. University Of Nairobi, Kenya
  26. Universidade Eduardo Mondlane, Mozambique
  27. Arab Academy For Science & Technology And Maritime Transport, Egypt
  28. Ain Shams University, Egypt
  29. Ecole Mohammadia D'ingenieurs, Morocco
  30. Al Akhawayn University Ifrane, Morocco
  31. Mansoura University, Egypt
  32. Addis Ababa University, Ethiopia
  33. Egerton University, Kenya
  34. Institut Agronomique Et Veterinaire Hassan Ii, Morocco
  35. North West University, South Africa
  36. Universite Abou Bekr Belkaid Tlemcen, Algeria
  37. Universite De Ouagadougou, Burkina Faso
  38. German University In Cairo, Egypt
  39. Tshwane University Of Technology, South Africa
  40. University Of Botswana, Botswana
  41. Zagazig University, Egypt
  42. University Of Benin, Nigeria
  43. Universite De Batna, Algeria
  44. National University Of Rwanda, Rwanda
  45. Cape Peninsula University Of Technology, South Africa
  46. University Of Khartoum, Sudan
  47. Makerere University, Uganda
  48. Mogadishu University, Somalia
  49. University Of Fort Hare, South Africa
  50. Ecole Superieure Privee D'ingenierie Et De Technologies, Tunisia
  51. Faculte Des Sciences Rabat, Morocco
  52. University Of Ghana, Ghana
  53. University Of Zululand, South Africa
  54. Assiut University, Egypt
  55. Universite Mohammed Premier Oujda, Morocco
  56. Ecole Nationale Superieure D'informatique Et D'analyse Des Systemes Ensias, Morocco
  57. University Of Zambia, Zambia
  58. Awolowo University, Nigeria
  59. Faculte De Medecine & Pharmacie, Morocco
  60. Universite Virtuelle De Tunis, Tunisia
  61. Universite D'Alger, Algeria
  62. Ecole Du Patrimoine Africain, Benin
  63. Amoud University, Somalia
  64. Sokoine University Of Agriculture, Tanzania
  65. Universite Sidi Mohamed Ben Abdellah Fes, Morocco
  66. African Virtual University, Kenya
  67. Sudan University Of Science & Technology, Sudan
  68. Mangosuthu Technikon, South Africa
  69. University Of Malawi, Malawi
  70. Universite Des Sciences Et De La Technologie Houari Boumediene, Algeria
  71. Universite M'hamed Bougara De Boumerdes, Algeria
  72. Faculte Des Sciences Tetouan, Morocco
  73. Institut Superieur De L'information Et De La Communication, Morocco
  74. Garyounis University, Libya
  75. Moi University, Kenya
  76. Universite De Blida, Algeria
  77. Universite Senghor D'alexandrie, Egypt
  78. Kwame Nkrumah University Of Science & Technology, Ghana
  79. University Of Burao, Somalia
  80. Ecole Nationale Polytechnique D'Alger, Algeria
  81. Universite Mohammed V Souissi, Morocco
  82. Al Azhar Al-Sharif Islamic Research Academy, Egypt
  83. Pan-African University, Nigeria
  84. Monash University South Africa, South Africa
  85. Institut De Formation En Technologie Alimentaire, Morocco
  86. Universite Hassan Ii Ain-chock, Morocco
  87. American University Of Kinshasa, Congo
  88. Vaal University Of Technology, South Africa
  89. Universite Chouaib Doukkali, Morocco
  90. Universite De Nouakchott, Mauritania
  91. Central University Of Technology, South Africa
  92. University Of Tanta, Egypt
  93. Universite Djillali Liabes, Algeria
  94. College Of Medicine University Of Malawi, Malawi
  95. Universidade Catolica De Angola, Angola
  96. Centre Africain D'etudes Superieures En Gestion Senegal, Senegal
  97. Minufiya University, Egypt
  98. Institut National De Formation En Informatique, Algeria
  99. Universite Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem, Algeria
  100. University Of Ibadan, Nigeria
  These African Universities are ranked depending upon various factors and resources. Some of the factors are Quality of Education, Quality of Faculty, Size and Age of an Institution, Student Views, Facilities, etc.
   
 10. M

  Mashi Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ranking of TOP 100 African Universities


  by Mogadishu University on Sunday, June 7, 2009 at 10:17am


  In a short period of its life, Mogadishu University takes brilliant steps to the Top Ranks of World Universities and it achieves great accomplishments in different fields.

  An international evaluation of world universities, revealed the Top 100 universities in every continent. Mogadishu University was ranked among the Top 100 African universities and placed 40th in Africa preceding well-known old universities in academic institutions in the continent.

  The Methodologies Adopted in the Ranking of World Universities:

  1. Universities' research out.
  2. Quality of graduates and the stages of their knowledge.
  3. Facilities provided by the universities in their fields of work.
  4. Their contributions to the modern knowledge.
  5. The extent of their technological access.
  6. The presence of the universities on the World Wide Web and their use of the Information Technology.
  7. Studies and materials published on their sites as well as the number of in-link visits.
  8. The performance and clarity of their messages as institution on the web.
   
 11. M

  Mashi Member

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Top 100 Universities in Africa 2010

  « on: July 24, 2010, 17:24:09 PM »
  1 University of Cape Town
  South Africa

  2 University of Pretoria
  South Africa

  3 Universiteit Stellenbosch
  South Africa

  4 University of the Witwatersrand
  South Africa

  5 The American University in Cairo
  Egypt

  6 University of KwaZulu-Natal
  South Africa

  7 Rhodes University
  South Africa

  8 Cairo University
  Egypt

  9 University of South Africa
  South Africa

  10 Mansoura University
  Egypt

  11 University of the Western Cape
  South Africa

  12 Helwan University
  Egypt

  13 University of Johannesburg
  South Africa

  14 Universidade Eduardo Mondlane
  Mozambique

  15 Université Cadi Ayyad
  Morocco

  16 University of Nairobi
  Kenya

  17 University of Ghana
  Ghana

  18 University of Botswana
  Botswana

  19 Université de la Reunion
  Reunion

  20 Alexandria University
  Egypt

  21 University of Mauritius
  Mauritius

  22 University of Dar es Salaam
  Tanzania

  23 University of Zambia
  Zambia

  24 Université Cheikh Anta Diop
  Senegal

  25 Addis Ababa University
  Ethiopia

  26 Université Nationale du Rwanda
  Rwanda

  27 Université de Ouagadougou
  Burkina Faso

  28 Sokoine University of Agriculture
  Tanzania

  29 Polytechnic of Namibia
  Namibia

  30 Makerere University
  Uganda

  31 University of Lagos
  Nigeria

  32 Zagazig University
  Egypt

  33 Cape Peninsula University of Technology
  South Africa

  34 Ain Shams University
  Egypt

  35 Obafemi Awolowo University
  Nigeria

  36 Nelson Mandela Metropolitan University
  South Africa

  37 University of Ilorin
  Nigeria

  38 The German University in Cairo
  Egypt

  39 University of the Free State
  South Africa

  40 North-West University
  South Africa

  41 Al Akhawayn University
  Morocco

  42 Assiut University
  Egypt

  43 Tanta University
  Egypt

  44 Central University of Technology
  South Africa

  45 University of Ibadan
  Nigeria

  46 University of Khartoum
  Sudan

  47 Université Abou Bekr Belkaid Tlemcen
  Algeria

  48 Sudan University for Science and Technology
  Sudan

  49 Kwame Nkrumah University of Science and Technology
  Ghana

  50 Durban University of Technology
  South Africa

  51 Université Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem
  Algeria

  52 University of Namibia
  Namibia

  53 Université des Sciences et de la Technologie Houari Boumediène
  Algeria

  54 Walter Sisulu University for Technology and Science
  South Africa

  55 Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology
  Kenya

  56 Université de Batna
  Algeria

  57 Tshwane University of Technology
  South Africa

  58 Kenyatta University
  Kenya

  59 Université Mentouri de Constantine
  Algeria

  60 Strathmore University
  Kenya

  61 Al Azhar University
  Egypt

  62 Vaal University of Technology
  South Africa

  63 Minia University
  Egypt

  64 Menoufia University
  Egypt

  65 Université M'hamed Bouguerra de Boumerdes
  Algeria

  66 Université d'Alger
  Algeria

  67 University of Garyounis
  Libya

  68 Université des Sciences et de la Technologie Mohamed Boudiaf d'Oran
  Algeria

  69 University of Zimbabwe
  Zimbabwe

  70 Moi University
  Kenya

  71 Université Badji Mokhtar - Annaba
  Algeria

  72 Université Mohamed Khider Biskra
  Algeria

  73 Université de Béjaïa
  Algeria

  74 Mogadishu University
  Somalia

  75 Université Ferhat Abbas Sétif
  Algeria

  76 Université d'Oran
  Algeria

  77 Université Djillali Liabes
  Algeria

  78 Université Mohammed V - Souissi
  Morocco

  79 October University for Modern Sciences and Arts
  Egypt

  80 Université Hassan II - Aïn Chock
  Morocco

  81 University of Fort Hare
  South Africa

  82 Université Mohammed V - Agdal
  Morocco

  83 MISR University for Sience and Technology
  Egypt

  84 October 6 University
  Egypt

  85 Jimma University
  Ethiopia

  86 Mauritius Institute of Education
  Mauritius

  87 University of Benin
  Nigeria

  88 University of Limpopo
  South Africa

  89 Université Mouloud Maameri de Tizi Ouzou
  Algeria

  90 Université Sidi Mohamed Ben Abdellah Fés
  Morocco

  91 Université Hassan II - Mohammedia
  Morocco

  92 University of Malawi
  Malawi

  93 University of Zululand
  South Africa

  94 Université Ibn Zohr
  Morocco

  95 Université Gaston Berger de Saint-Louis
  Senegal

  96 Université de Jijel
  Algeria

  97 Université des Sciences Islamiques Emir Abdelkader
  Algeria

  98 École du Patrimoine Africain
  Benin

  99 Université de Nouakchott
  Mauritania

  100 University of Venda
  South Africa


   
 12. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo naona maelezo yangu yanaendana na data hizo hapo juu
   
 13. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2014
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Ya kweli haya?
   
 14. s

  service JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2014
  Joined: May 22, 2014
  Messages: 2,621
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  mkuu jamaa kaongea vizuri sana sasa wewe tatiZo lako nini?
   
 15. baro

  baro JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2014
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 1,760
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  Well said,kweli umetoka SUA na umeelimishwa vizuri
   
 16. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2014
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,895
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Unasifia tu hata anasema kwamba kuna mtu anaitwa Profesa Xavery Lwaitama. Hata sijui amepata wapi uwezo wa kumuita Profesa.
   
 17. baro

  baro JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2014
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 1,760
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  Angalia maudhui ya post na lengo lake usishadadie vitu venye typng error
   
 18. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2014
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  naona unampa sifa za mfalme ****, Kwahiyo SUA nacho ni chuo ktk vyuo? Heri TEKU.
   
 19. thanksme

  thanksme Senior Member

  #19
  Aug 6, 2014
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Sina imani....
   
 20. K

  Kivule JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2014
  Joined: Nov 29, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  mkuu samahani kutoka nje ya mada, nilitaka kufahamu ukimaliza kozi za agriculture engineering na irrigation and water resources engineering unapangiwa kazi na serikali au unatafuta mwenyewe?????
   
Loading...