Hahahahahahaha
Daaaaah jf kiboko
Peleka bandiko lako Love Connect, utawapata wenye uhitaji wa mtu kama wewe.
JF stressfree zone
Hapo Umemaliza kabisa. Ndo ukurupukaji huuu, Mkuu unayetaka mwanamke, jipange vizuri.
sasa best nakuja na bonge la iujumbe utafurah subiri hapo hapo.
Daaaaah mwl gfsonwin mbona umemvua mtu boxer? Aisee kuna maneno yanamkamata kabisa alaf alijisahau kabisa!
ndipo ajue kwamba hapa ni fimbo tu.
Watajireta usijari..ova