Muhimu kuisoma hii

Muhimu kuisoma hii

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari zenu wanajamvi, poleni na hongereni kwa mapumziko ya weekend. Sina lolote la kusema.

Asanteni sana.
 
Maadamu hili jukwaa ni la utani na vituko, umelitumia vema.Hongera!
 
Asante Kontelo. Sio wengi tuliojuliwa hali leo. Wkend njema na kwako pia
 
Last edited by a moderator:
Next weekend tualikane kwenye nyama choma na supu za mawe
 
Habari zenu wanajamvi, poleni na hongereni kwa mapumziko ya weekend. Sina lolote la kusema.

Asanteni sana.

Vipi huna lolote la kusema nawe umeshatoa pole na hongera ya Weekend?! Au hizo ni Nyimbo?
 
Back
Top Bottom