huduma hospitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za Huduma Hospitali ya Misungwi Wilaya Misungwi Mkoa Mwanza

    Huduma katika hopstali hii ni mbaya sana ingawa hosptali ina majengo mazuri ya kisasa vifaa vya kisasa, lakini kila tukienda Wanasema mtandao hakuna. Na pia Serikali iweke wazi kama haiwalipi mishahara wauguzi tujue ili sisi wenye wagonjwa tulipe pesa zetu maana nilipeleka mgojwa mpaka masaa 24...
  2. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yabeba jukumu la matibabu ya Dismas Jackson

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuwafikia watu mbalimbali wasiokuwa na uwezo ili kuwapatia huduma za matibabu, ikiwa ni kutimiza azma ya Mheshimiwa Rais katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ya kuhakikisha huduma za afya zinakuwa jumuishi, bora na zinazoweza kufikiwa na kila mwananchi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kata ya Olbalbal – Ngorongoro tumekata tamaa, huduma ya Zahanati ya Kijiji ni mbovu sana

    YAH: KILIO CHA WANANCHI – ZAHANATI YA OLBALBAL HAINA DAWA, MAISHA YA WATU YAPO HATARINI Ndugu Wanajamii, Sisi Wananchi wa Kata ya Olbalbal, Wilaya ya Ngorongoro, tumefika mahali pa kuchoka na kukata tamaa kutokana na hali mbaya ya huduma za afya katika zahanati yetu ya kijiji. Kwa muda mrefu...
Back
Top Bottom