Muhimbili wamebariki madawa ya kulevya?

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Jamani hospitali ya Muhimbili imekuja na matangazo mengi ya kuzuia kuchangia bomba la kujidunga madawa. Kwenye tangazo lao moja teja moja anakataa kushare bomba na anamwambia mwenzake akatafute lake! Sasa inaonekana kujidunga inaruhusiwa tatizo ni huko kuchangia bomba la sindano tu! Mtamaliza vijana wetu.
 
Hata mimi nililiona na kushangaa. Njaa mbaya sana, MUHIMBILI wamebebeshwa tu hilo tangazo, lakini limetokea nadhani marekani, ndo wanaotoa kitita ambao pia ndo wauzaji wazuri wa madawa
 
Kazi kweli kweli.....haya matangazo mengine huwa yanashangaza sana!

Kama hilo litakuwa limewekwa kwa hisani ya watu wa marekani!
 
Back
Top Bottom