Muhimbili: Rais Magufuli awatembelea na kuwapa pole majeruhi wa ajali ya moto Morogoro

Siyo watanzania hao ni chadema utafikiri wanachama wao hawamo kwenye ajali.
Too much jamani.
Kila kitu Ni kupinga tu lol..

Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila pale panapostahili pongezi wacha tumpongeze
Ameenda Watu wanasema..asingeenda wangesema pia..binadamu tuna Nini lakini

Dini iliyo Safi Ni kuwaona wagonjwa na kuwatembelea wahitaji katika shida zao.
 
Kugawa laki tano ni upuuzi bila kuboresha kikosi cha zima moto!!

Moto unatoa alafu zima moto halina maji alafu unaenda kutoa laki tano kwa majeruhi?

Hii ni akili? Na kesho ikitokea tena ajali utatoa laki ngapi?

Bado hatujajifunza kwenye ile ajali ya meli...
ACHA UJINGA
ZIMAMOTO wangewahi kivipi hilo eneo?
unajua ajali ya Tanker la mafuta lililoanguak na mifuniko mwili kufunguka? sio cork
mafuta yanazagaa mpaka kwa mama ntilie na wavuta sigara
Acha kabisa, Rais wa wanyonge kaonesha mfano, wagonjwa wanafariki kwa kukosa huduma mpaka chakula
Moto wa petrol hausubiri zimamoto ndio maana kila gari lina Fire Extinguishe tena ma Tanker yanazo mbilimbli
 
Tuongeze vifaa vingi sana vya uokozi kuliko vifaa vingi vya kupambana na wapinzani, elimu kuhusu majanga zitolewe kila mara,matenki ya kizamani ya kubeba mafuta yasiruhusiwe kutumika, yapo ya Kisasa mifuniko yake huwa haifunguki hata ajali ikitokea.Gari za zimamoto ziwe zikipishana hizi highways zote kama ilivo GARI za patrol za polisi.

Mfano polisi hata mmoja tu akiwahi eneo La ajali akapiga risasi juu tu asogei MTU.
Isipokuwa GARI ya bia,MAJI,au soda waachwe watu walewe wasahau shida zao siku hio.
Hivi upinzani nchi hii bado upo?
 
Hakuna anaepinga yeye " kuwasaidia" hao wahanga kwa kuwapa laki tano au kumsaidia kulipa bill yule mama, lkn leo kasaidiwa yule mama kulipa hy bill ya 1.5m kesho utaenda wewe utashindwa lipa bill ya milioni 2, nani atakusaidia? Me nilifikiri ingefaa zaidi kama angeaamuru wahusika kureview hizi kero au mizigo ya madeni inayowakuta hao masikini wanapolazwa mahospitalini, kujua haswa wapi huwa kuna tatizo, gharama gani mtu anapaswa lipia, zipi asilipe na kwanini ili mwisho wa siku kupunguza mzigo kwa watu wetu.

Pia angejaribu kuwaambia watu wa mfuko wa bima ya afya ya taifa NHIF, walireview bei za package zao pmj na mfumo mzm wa malipo ili watanzania wengi zaidi waweze kumudu na kuepukana na huu mzigo.

Mfano tu, kwa hivi sasa ili mtu awe mwanachama wa NHIF kwa ambae hajaajiriwa, basi yampasa alipe 1.5m kwa mara moja yani mkupuo, sasa kwa mtanzania wa kawaida huu ni mzigo mkubwa mnoo.
Too much jamani.
Kila kitu Ni kupinga tu lol..

Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila pale panapostahili pongezi wacha tumpongeze
Ameenda Watu wanasema..asingeenda wangesema pia..binadamu tuna Nini lakini

Dini iliyo Safi Ni kuwaona wagonjwa na kuwatembelea wahitaji katika shida zao.
 
Wewe ndio kiazi kweli kwaiyo waache watu wafe waende kuboresha zima moto ?
Uwe na roho ya huruma ata kidogo
Waaafrika tunakwama wapi kwani duniani kuna nchi isiyo na majanga ?
Osama alilipua marekani wangeacha kuhudumia majeruhi waende kuboresha jeshi kwa ajili ya kumtafuta osama ?
Huyo jamaa nimemshangaa sana maoni yake. Halafu watu wa aina hii wanaamini kabisa wao ni serikali mbadala inayopiga jaramba kuchukua nafasi!.

Yaani kwa mawazo ya kinyama kama ya kwake bado anajiona ni sehemu ya mawazo ya kimaendeleo yenye msaada.
 
Hakuna anaepinga yeye " kuwasaidia" hao wahanga kwa kuwapa laki tano au kumsaidia kulipa bill yule mama, lkn leo kasaidiwa yule mama kulipa hy bill ya 1.5m kesho utaenda wewe utashindwa lipa bill ya milioni 2, nani atakusaidia? Me nilifikiri ingefaa zaidi kama angeaamuru wahusika kureview hizi kero au mizigo ya madeni inayowakuta hao masikini wanapolazwa mahospitalini, kujua haswa wapi huwa kuna tatizo, gharama gani mtu anapaswa lipia, zipi asilipe na kwanini ili mwisho wa siku kupunguza mzigo kwa watu wetu.

Pia angejaribu kuwaambia watu wa mfuko wa bima ya afya ya taifa NHIF, walireview bei za package zao pmj na mfumo mzm wa malipo ili watanzania wengi zaidi waweze kumudu na kuepukana na huu mzigo.

Mfano tu, kwa hivi sasa ili mtu awe mwanachama wa NHIF kwa ambae hajaajiriwa, basi yampasa alipe 1.5m kwa mara moja yani mkupuo, sasa kwa mtanzania wa kawaida huu ni mzigo mkubwa mnoo.
Nadhani hili alilofanya Ni hatua ya kwanza kabisa na Ni Imani yangu hayo unayoyaongea hata yeye atakuwa anawaza kuyafanyia kazi.
Shida ni pale watu wanaona Kama huu uungwana aliofanya Leo si chochote.
 
Nadhani hili alilofanya Ni hatua ya kwanza kabisa na Ni Imani yangu hayo unayoyaongea hata yeye atakuwa anawaza kuyafanyia kazi.
Shida ni pale watu wanaona Kama huu uungwana aliofanya Leo si chochote.
Dont worry mkuu.... kwa mila zao wako sawa si uungwana kabisa.
Kuna Dokta aliokoa maisha ya mtu kwa kumfanya risky mdomo kwa mdomo CPR na mgonjwa akapona...
Jamaa mwingine akasema mshukuru dokta kwa kuokoa maisha ya kaka yako lijamaa likajibu si kazi yake kutibu ama?
Nimshukuru ya nini sasa...
 
Mkuu ngoja kwanza hili lipite kuna majeruhi wapo humu ndio kichwa cha familia huko nyumbani ni njaa tupu watoto hawapati ugali,
Mh Rais ameliona hili
Mkuu tatizo humu wamejaa vijana ambao bado wanakula kwa baba na mama hivyo hawawezi kabisa kuelewa maana ya hicho alichokifanya rais Magufuli pale hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo. NADHANI NI UTOTO TU WAKIKUA WATABADILIKA FIKRA ZAO!
 
Back
Top Bottom