Muhimbili: Rais Magufuli awatembelea na kuwapa pole majeruhi wa ajali ya moto Morogoro

Mkuu tatizo humu wamejaa vijana ambao bado wanakula kwa baba na mama hivyo hawawezi kabisa kuelewa maana ya hicho alichokifanya rais Magufuli pale hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo. NADHANI NI UTOTO TU WAKIKUA WATABADILIKA FIKRA ZAO!

wengine ni watu wazima na tena wanafamilia zao ila wamejaa roho za kwanini,
Kuna mmoja amesema Rais anawapaje majizi hela,
Amesahau kwamba ile ni barabara kuu inatumiwa na watu wengi kuna wengine walipaki gari zao njiani na kwenda kutoa msaada matokeo yake nao wameungua.
Tuwasamehe bure
 
Dont worry mkuu.... kwa mila zao wako sawa si uungwana kabisa.
Kuna Dokta aliokoa maisha ya mtu kwa kumfanya risky mdomo kwa mdomo CPR na mgonjwa akapona...
Jamaa mwingine akasema mshukuru dokta kwa kuokoa maisha ya kaka yako lijamaa likajibu si kazi yake kutibu ama?
Nimshukuru ya nini sasa...
 
Rais John Magufuli, amewatembelea majeruhi walionusurika na ajali ya moto uliotokana na lori la mafuta kupinduka na kulipuka mkoani Morogoro jana Agosti 10, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Majeruhi hao walifikishwa hospitalini hapo jana saa nne usiku.

AJALI YA MOTO MOROGORO: RAIS MAGUFULI AWATEMBELEA MAJERUHI, AWAPA 500,000 KILA MMOJA

Majeruhi hao 43 wamelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili walipopelekwa kutoka hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Kati ya 46 waliofikishwa jana, watatu wamefariki dunia leo

Aidha, Rais Magufuli amewashukuru wauguzi pamoja na madaktari kwa huduma nzuri na kuwazawadia Tshs. milioni 1

Amewaagiza kuwahudumia majeruhi hao na kuwapatia mahitaji yoyote wanayohitaji kwa gharama ya Serikali

Safi sana anatimiza wajibu wake wa kuwafariji Wananchi wake.
 
Poleni sana wahanga
FB_IMG_1565446333353.jpeg
 
Mara 1 1 kufanya vitu kama hivi inarudisha Nuru usoni mwa MTU

Etu Nuru?? Kweli??
You worsened their lives! You make them poorers to the cores; then all-over-a-sudden you are appearing in front of the media happily giving out in kind donations!
Kweli?
And the ignorant multitudes just appreciates it in the name of Nuru?!?
 
I think the ignorant here is you! You must be carrying a grudge for some thing bad that has happened to you since President Magufuli came into power! (May be na wewe ni mhanga wa vyeti au kutumbuliwa au siasa uchwara and the likes)
 
Rais John Magufuli, amewatembelea majeruhi walionusurika na ajali ya moto uliotokana na lori la mafuta kupinduka na kulipuka mkoani Morogoro jana Agosti 10, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Majeruhi hao walifikishwa hospitalini hapo jana saa nne usiku.

AJALI YA MOTO MOROGORO: RAIS MAGUFULI AWATEMBELEA MAJERUHI, AWAPA 500,000 KILA MMOJA

Majeruhi hao 43 wamelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili walipopelekwa kutoka hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Kati ya 46 waliofikishwa jana, watatu wamefariki dunia leo

Aidha, Rais Magufuli amewashukuru wauguzi pamoja na madaktari kwa huduma nzuri na kuwazawadia Tshs. milioni 1

Amewaagiza kuwahudumia majeruhi hao na kuwapatia mahitaji yoyote wanayohitaji kwa gharama ya Serikali
So what
 
I think the ignorant here is you! You must be carrying a grudge for some thing bad that has happened to you since President Magufuli came into power! (May be na wewe ni mhanga wa vyeti au kutumbuliwa au siasa uchwara and the likes)

That is a very lame excuse!!
And from your reasoning it seems that you stopped using your brain long time ago!
Unfortunately it is normally the attitude of members from "praise and worship teams" (like you) to never see the wrongs that their "lord" is doing for as long as he rules.
Interestingly, the same "lord" will no-sooner-than-later be put to endless blames and condemnations once he stops to become the "lord"!
Who knew that you members of the "praise and worship teams" would lay blames to the likes of Makamba sr, Kinana, Mkapa, Kikwete?
Don't force me to be in the same custody of the crazy mob of brainless supporters you are!
I am a free thinker, a transformer and a distrupter!
I am never a ass-licker like you!
I am not an 'appointment hopeful" like you!
 
Back
Top Bottom