Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,903
unachoongea humu ni kweli kabisa, siku hizi wagonjwa wanafanya sana research kwa hiyo dokta akiwa mjinga mjinga atakuwa anaishia kukubali mawazo ya mgonjwa. kuna dada anaitwa susannah cahalan amenifungua sana kuhusu hili kwenye kitabu chake. tanzania huwa hatutilii maanani magonjwa ya akili kama ulivyosema, maana kuna uwezekano mkubwa sana kwamba babu wa loliondo ni mgonjwa wa akili lakini hatukuona hiloHuyu kashaonesha madaktari wanabahatisha, na wanaweza kutibu ugonjwa ambao haupo.