kama wewe unaweza ni one in hundred. sikusema wote ni perfect. We ukipigwa na mwingine ukashindwa kumrudishia alie kupiga ukaja kunipiga mimi basi ni mnyama.Una uhakika gani mimi sio Dr! Baada ya wao kupelekwa mabwepande na kungolewa kucha na meno and u still think they are the same? Kukiwa hakuna mgomo wanawafanyia wagonjwa kutu vile vile itakuwa baada ya kungolewa meno na kucha!
Kwa taarifa nilizozipata muda huu uongozi wa hospital ya taifa ya muhimbili wamewatimua madaktari Interns wote katika hospital hiyo
Ndugu yangu, wewe unaishi Tanzania kweli? Mshahara wa mfanyakazi wa serikali unaweza kukaa kwa muda gani mfukoni? Kabla hata mwisho wa mwezi haujafika mshahara ulishakwisha siku nyingi. Hawa walizoea kamshahara hako na marupurupu ya hapa na pale wakienda kukaa nyumbani mwezi mmoja tu watakuwa wanarudi serikalini kuomba msamaha.
Kwa mtu aliyezoea kuishi kwa mshahara itakuwa ni vigumu sana kuendeleza jeuri akiwa nje ya kazi. By the way, mkishakuwa mmefukuzwa kazini, hata mkutane kokote na kufanya mikutano yenu, hamna tena impact kwa serikali, maana tayari imeshachukua risk. sanasana mtamaliza hela za nauli za kukutana huko, na baadaye hiyo mikutano itakufa natural death.
hivi wewe huna uzoefu wa migomo ya wanafunzi. Umoja wao na ujanja wao unaishia pale chuoni, wakishafukuzwa tu hawana tena kinga, maana wakileta fujo mtaani huko watakamatwa na kushughulikiwa kama wahalifu wa kawaida tu na si wapigania haki, ukizingatia na ajira watakuwa tayari washafukuzwa! Ujue serikali yetu ni kind sana, lakini kama kweli serikali ikiamua kufanya maamuzi yake kulingana na vile inavyotaka mambo yaende, nadhani baada ya negotiation kushindikana, yangeshafanyika mambo makbwa sana.
Maana serikali inaweza kuwafukuza kazi, halafu ikabadilisha sera ya ulipaji mikopo, mkajikuta within the same week baada ya kufukuzwa, mnakamatwa mlipe mikopo mliyokopa bodi ya mikopo. Ukizingatia walipewa 100% udhamini wa serikali. Mie nafikiri wakati mwingine tuwe tunamshukuru tu Kikwete kwamba ni mtu mwenye huruma sana, hapendi kufanya maamuzi ya kumuumiza mtu. Though ameharibu kwa kila alichomfanyia Ulimboka.
ndo mnavodanganyana?watakwenda kwenye point of no return wakiwa nyumbani kwao? Ujue mgomo huwa unawezekana mkiwa tu mahali pamoja ambapo mnakutanika kwa pamoja. Sasa mkishakuwa kwenu, mtajiorganize vipi? Maana ujue mkishafukuzwa, hamruhusiwi tena kuonekana mazingira ya kazini kwenu kwa zamani, mtakutana wapi, na mtakuwa mnafanya nini mkikutana.
Kweli kabisa mkuu,huo ndo mkakati ambao serikali inautumia.Madaktari komaeni msigawanyike
hahaha...very funny, TZ ina
neurosurgeons 4,
Orthopeadics Surgeon less than 15,
Physician 30,
Otorhinolaryngolist 7,
Anaesthesiologist 25,
Ophthamologist(sio optician) 20,
Psychiatrist(not psychologist) 20,
Pediatrician 35,
Obstetrician and Gynaecologist 35,
Surgeons(Urologist,Thoracic,Pediatrics,Gastro, Plastic, Vascular and Oralmaxillofacial) 40,
Radiologist 12,
wote hawa wamegoma, hebu tuone kama serikali yetu ya kutufukuza na pamoja na wadogo wetu(residents, registrar, intern) tuone mtatupatia wapi?!
besides hata hao AMO wenyewe(madaktari wa fastafasta waliosoma miaka 3) inawahitaji tena kusoma 5years again!!
you dont know what someone can do until you push him to the edge, ..we have reached ours!
wewe ***** kweli! unafikiri Intern hawezi kwenda kufanya internship botswana na akalipwa kama intern wa botswana? kwa taarifa yako hapa tanzania maintern sio wote raia wa tanzania, lakini wote wanalipwa sawa na serikali yetu, ndio utaatibu wa kila sehemu!Good move kwa serikali.
Tuone kama Intern nae atapata kazi Botswana...
hahaha...very funny, TZ ina
neurosurgeons 4,
Orthopeadics Surgeon less than 15,
Physician 30,
Otorhinolaryngolist 7,
Anaesthesiologist 25,
Ophthamologist(sio optician) 20,
Psychiatrist(not psychologist) 20,
Pediatrician 35,
Obstetrician and Gynaecologist 35,
Surgeons(Urologist,Thoracic,Pediatrics,Gastro, Plastic, Vascular and Oralmaxillofacial) 40,
Radiologist 12,
wote hawa wamegoma, hebu tuone kama serikali yetu ya kutufukuza na pamoja na wadogo wetu(residents, registrar, intern) tuone mtatupatia wapi?!
besides hata hao AMO wenyewe(madaktari wa fastafasta waliosoma miaka 3) inawahitaji tena kusoma 5years again!!
you dont know what someone can do until you push him to the edge, ..we have reached ours!
Kwa sasa madaktari wanahitaji umoja than ever. Wakigawanyika tu, imekula kwao
Jinsi watanzania wengi walivyombumbu wanadhani Intern doctor ni mwanafunzi ha ha ha mtu alisha pata degree yake halafu unamnyanyasawewe ***** kweli! unafikiri Intern hawezi kwenda kufanya internship botswana na akalipwa kama intern wa botswana? kwa taarifa yako hapa tanzania maintern sio wote raia wa tanzania, lakini wote wanalipwa sawa na serikali yetu, ndio utaatibu wa kila sehemu!
Mkuu waelezeni hawa,sio wanapewa posho na Nape ili waikingie kifua serikali iliyoshindwa kuwahudumia wananchi wake,na ku-step down hataki,hivi wapi serikali ilikofanikiwa?Elimu hoi wanajiandaa kugoma ukiwauliza tukae meza ya majadiliano,kila sikumajadilano gani hayo yasiyo na suluhu?walimu hawana nyumba,mishahara yao ni ya bia siku mbili tu ukitulia na castle lager vizuri kamshahara kwisha,haya vyumba vya madarasa havitoshi,maabara hazitoshi,vitabu hakuna,madawati hakuna,vyoo mashuleni hakuna,lakini ukidai leo utaambiwa tunashughulikia,ukigoma njoo tuzungumze,hii mpaka lini?haya Uliza maji safi na salama kama utayapata,DAR yenyewe wanakunywa maji safi lakini si salama,maana vyanzo vya maji hayo ni hatarishi,serikali imeshindwa kusambaza maji jiji la Dar tangu uhuru hadi leo hii hakuna,tukiandama tunaambiwa wananchi tulieni tuko kwenye upembuzi yakinifu,Usalama wa raia na mali zao nako hakuna kitu,kilimo nacho sifuri,sasa leo tukizungumzia sector ya afya inalenga masiha ya watu moja kwa moja mnaona tunashabikia kumbe tuna-refer mambo mengi ambayo yamekuwa yakiendeshwa kwa propaganda,vitendo ziro.hahaha...very funny, TZ ina
neurosurgeons 4,
Orthopeadics Surgeon less than 15,
Physician 30,
Otorhinolaryngolist 7,
Anaesthesiologist 25,
Ophthamologist(sio optician) 20,
Psychiatrist(not psychologist) 20,
Pediatrician 35,
Obstetrician and Gynaecologist 35,
Surgeons(Urologist,Thoracic,Pediatrics,Gastro, Plastic, Vascular and Oralmaxillofacial) 40,
Radiologist 12,
wote hawa wamegoma, hebu tuone kama serikali yetu ya kutufukuza na pamoja na wadogo wetu(residents, registrar, intern) tuone mtatupatia wapi?!
besides hata hao AMO wenyewe(madaktari wa fastafasta waliosoma miaka 3) inawahitaji tena kusoma 5years again!!
you dont know what someone can do until you push him to the edge, ..we have reached ours!
Watu wanatofautiana kiuchumi nakwambia mwingine anaweza kuendelea kugoma kwa kua ana hospitali yake anapata chochote ila nakwambia kwa hii move ilipofika wote wanarudi kazini. Wameshashikwa pabaya na hawawezi tena kua na nguvu nakwambia
Jinsi watanzania wengi walivyombumbu wanadhani Intern doctor ni mwanafunzi ha ha ha mtu alisha pata degree yake halafu unamnyanyasa
halafu wanapowafukuza ndipo ninapocheka kwa sababu hata ajira zenyewe hawajapewa hawana cha kupoteza watarudi kwa baba zao wakalime nyanya tena kwa kiufundi zaidi
Mi nakwambia hizo stress unazoziongea ni wakiwa kwenye makundi tu. Kwani kabla ya hapo walikua hawana stress? mbona walikua wanatibu?wanaweza kurudi kazini - ila udaktari ni zaidi ya ajira - kuna kujitolea kwingi - kuna counselling kwa wagonjwa etc.
ina maana kama wanarudi wakiwa na stress hata kutibu kutasua sua. Jamani hii issue ni kubwa sana. Sijui hata iatakuwaje - MASKINI MADKITARI WETU ................
Kwa sasa madaktari wanahitaji umoja than ever. Wakigawanyika tu, imekula kwao