Muhimbili hali ni ngumu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimbili hali ni ngumu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyalotsi, Dec 1, 2011.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Pesa yote imeishia kwenye miaka 50 ya umasikini,ujinga na wizi. Hivi kwa nini hawakubali nchi imewashinda? At MUHIMBILI NATIONAL DISPENSARY ct scan, x ray, ogd na vipimo vingine vingi havifanya kazi. Two weeks ago mwaisela kulikuwa hakuna lasix. Fedha za kulipa wabunge,kunywa bia kwenye maadhimisho na kuunda tume zisizo na faida zipo,lakini pesa za kuboresha huduma hakuna. Ni sahihi wadanganyika tunastahili adhabu kwa kuendelea kuwakumbatia magamba,ila wajaribu hata kutuhudumia tukiugua! Hii nimeona mwenyewe!
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kwa viwango vyetu TZ hiyo dispensary hairuhusiwi kuwa hata na kitanda cha kulaza mgonjwa, ungesema MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL ungekuwa sahihi.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  katika suala la afya serikali yangu huwa si tetei.... wamejisahau mnoo


   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280

  wameona SAMUNGE ndo suluhisho kwa wananchi.
   
 5. D

  Discoverer Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yote uliyosema ni ukweli mtupu, wao wanabahati wanaenda India kwa matibabu sisi ndo tutakufa hapa na National dispensary yetu! Hii ni aibu kwa taifa zima haiwezekani hospitali ya taifa CT scan, OGD,X ray unit ikawa haifanyi kazi wiki mbilli bila hata waziri wa afya kushtuka. Ni uzembe uliovuka mipaka na unaohitaji watu kuwajibika... ni miaka hamsina ya Ujinga Umaskini na maradhi........ Tumethubutu, tumeshindwa na tunazidi kudorora......
   
 6. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  kumbe hata hapo karibu na Ikulu! Huku mikoani hali ni mbaya zaidi. Baba yangu angenirithisha hata nyumba ya vyumba viwili vya kupangisha nipate japo hela ya kula ningeacha kazi hii. Wagonjwa wanataabika na kufa mikononi mwangu kisa hakuna dawa,hivi ninafanya nini...nikisema haka ka-mshahara kangu ni ninunue dawa niwatibie watu bure nitatibu wangapi jamani! Kikwete aibu,aibu,aiiiiiiib....nalia mimi ....hivi watanzania mkienda hospitalini mkaambiwa akuna dawa mnajisikiaje? Tafuta petrol choma moto hospitali hizi! Nisamehe nipo karibu kuvunja kiapo cha kazi yangu..
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  kura mmepiga wenyewe lakini.
   
 8. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  nchi hii upuuzi ni kila mahali
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Mamndenyi na katiba hii na tume hii kura ina maana kweli?
   
 10. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  walileta mambo ya siasa wakatangaza likikombe la babu watu wakanywa. Sasa hivi watu wanakuja na unresectable breast cancer! Ukimuuliza vizuri anakwambia nilikunywa kikombe. It is terrible,lakini ndo hivo. Si hasa ujinga jinga mwingi. Sasa hivi idara zote zimehamishia fedha kwenye maadhimisho ya kugawana mapato watumishi hawana mishahara! Hii nchi bora tuchapane mapanga kidogo,wengine tupungue ili watakaobaki wanufaike.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hujamuelewa na ni bora ungekaa kimya

  there was a mickey out of the message

  kweli kuchamba kwingi kutoka na m@vi
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  si naskia mna mkurugenzi mpya?

  LOL
   
 13. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  kwa hali iliyopo sasa hivi, u cant convise me! Watu wanatibiwa kwa symptoms bila diagnostic investigation. Hii hata dispensary wanafanya aafu anakwambia nenda regency kapime. Nini viwango vya National Referal Teaching Hospital? Pole mama Marina!
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni kweli haya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru imekuwa mrija wa watu kula. Kila sehemu hali ni ngumu, mpaka kwenye majeshi
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  yule mama ameingia kuchafuka tu. Hi serikali legelege hata uwe kiongozi mzuri toka mbingungu, u will fail! Wanachotaka wao ni uwaambie idara yangu imetenga pesa kadhaa za kugawana,sio uwaeleze uhitaji wa fedha kwa maboresho. They wont give u! Ndo maana hata majengo wanayojisifia kujenga ni funds kutoka nje zinazokuja na specific purpose.
   
 16. MGOGOHALISI

  MGOGOHALISI JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 353
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wakajifanya wao ndo wakwanza kwenda, leo kimyaaaa:eyebrows::eyebrows:
   
 17. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  yuko sahihi ulitakiwa ufikiri kabla ya kukosoa,maana haipo kama jina lake lilivyo,na haifanyikazi kama unavyotaka wewe iitwe.
   
 18. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  She is neither strong woman nor iron-lady but she is intelligent.
   
 19. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Hata mimi ninakubaliana na Nyalotsi kwa kuipachika jina la National Dispensary. Inatia kinyaa. Haina hata hadhi ya kuitwa hospitali. Wao mradi wanaweza kukimbizwa India wakiugua hawajali kabisa uhai wa mtanzania wa kawaida. Na cha kukera zaidi kuna watanzania bado wanawamwagia sifa viongozi hao hao wanaoendelea kuifisadi nchi kila kukicha.

  Siku chache zilizopita niliona kwenye ITV kunda la watoto waliokuwa wanapelekwa India kwa matibabu. Hao wazazi waliopewa nafasi ya kuzungumza walikuwa wanaimba sifa kwa viongozi wa serikali na jinsi walivyowapokea vizuri kutoka mikoani na kukamilisha mipango yao ya kwenda India. Ama kweli hawa watanzania wenzetu hawajui wanachokikosa na wanachostahili kama walipa kodi na watanzania wenye haki ya kupata huduma muhimu kama ya matibabu hapa hapa nchini. Ni kweli wakati wa uhuru hatukuwa na madaktari wazawa wa kutosha, nchi ilikuwa bado ni changa. Lakini wakati tunatumia mabilioni ya shilingi kuandaa sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, ni aibu kubwa hasa kwa kuwa tunao madaktari bingwa wa kila fani kuendelea kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa matibabu. Madaktari wengine wanafanya kazi nje ya nchi baada ya kuona ujuzi wao hauthaminiwi, na wanakuwa 'underutilised'. Kama hospitali (dispensary) haina hata CT Scan au X Ray daktari afanye nini, aandike aspirin? Inasikitisha sana kuona kuwa tunahitaji utaalamu kutoka nje hususan India wakati wataalamu tunao ambao wangeweza kufanya hata hizo operation kama serikali yetu ingekuwa na sera makini.

  Wakati wa kuamka ni huu. Tukumbuke, kwetu Tanzania aliye juu usimngoje chini, mfuate huko aliko umdondoshe kama nazi!
   
 20. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mwita, faizafox, zomba, rejao na wenzao wana maelezo hata kama ni upupu wasubirini watupe kipindi. kwi kwi kwii!
   
Loading...