Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,943
- 1,015
si naskia mna mkurugenzi mpya?
LOL
She is neither strong woman nor iron-lady but she is intelligent.
si naskia mna mkurugenzi mpya?
LOL
kwa viwango vyetu TZ hiyo dispensary hairuhusiwi kuwa hata na kitanda cha kulaza mgonjwa, ungesema MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL ungekuwa sahihi.
katika suala la afya serikali yangu huwa si tetei.... wamejisahau mnoo
mwita, faizafox, zomba, rejao na wenzao wana maelezo hata kama ni upupu wasubirini watupe kipindi. Kwi kwi kwii!
Pesa yote imeishia kwenye miaka 50 ya umasikini,ujinga na wizi. Hivi kwa nini hawakubali nchi imewashinda? At MUHIMBILI NATIONAL DISPENSARY ct scan, x ray, ogd na vipimo vingine vingi havifanya kazi. Two weeks ago mwaisela kulikuwa hakuna lasix. Fedha za kulipa wabunge,kunywa bia kwenye maadhimisho na kuunda tume zisizo na faida zipo,lakini pesa za kuboresha huduma hakuna. Ni sahihi wadanganyika tunastahili adhabu kwa kuendelea kuwakumbatia magamba,ila wajaribu hata kutuhudumia tukiugua! Hii nimeona mwenyewe!