mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,480
Unaongelea wanawake wepi hao?Alafu kinachoudhi wanawake hawanaga huruma
Unaongelea wanawake wepi hao?Alafu kinachoudhi wanawake hawanaga huruma
Na atambue pia wapo wanawake watafutaji wanakutana na changamoto hizo hizo anazipitia mume katika utafutaji, nadhani ujumbe wake awafikishie wanawake zake.Ungeishia pale tu umesema hujaoa.
😀😀😀😀😀 Hii comment yako imenichekesha na kunigusa sana ..ulicho comment nilikuwa niketoka kukifikiria asubuhi na mapema ya leo .... Nilikuwa Nina jiambia Mapenzi yanataka watu fulani hivi wajinga wajinga.. watu ambao hata wakifanyiwa vitendo vya kipumbavu vinavyo ashiria kuvunja thamani ya utu wao wanavumilia tu .... HAPO NDIO PANAPO NIFANYAGA MIMI NIYASHINDWE MAPENZI NA KWAKWELI SIYAWEZI MAANA SIWEZAGI KUVUMILIA KUGEUZWA POPOMADah....hakuna kipindi cha raha kwa mwanaume kama wakati wa uchumba...ndiyo maana Wanaume wasiopenda ujinga huwa hawavuki hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Dah ....ndiyo maana nasisitiza....kama hupendi ujinga....usivuke hiyo stage ...baki hapo hapo uchumbani ule maisha [emoji23][emoji23][emoji23]Ila wanaigizaga sana kwenye uchumba ukimuweka ndani ndo utamuelewa vizuri
Kabisa aisee Mimi mtu akiniletea upuuzi tunamaliza hayo mapenzi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hii comment yako imenichekesha na kunigusa sana ..ulicho comment nilikuwa niketoka kukifikiria asubuhi na mapema ya leo .... Nilikuwa Nina jiambia Mapenzi yanataka watu fulani hivi wajinga wajinga.. watu ambao hata wakifanyiwa vitendo vya kipumbavu vinavyo ashiria kuvunja thamani ya utu wao wanavumilia tu .... HAPO NDIO PANAPO NIFANYAGA MIMI NIYASHINDWE MAPENZI NA KWAKWELI SIYAWEZI MAANA SIWEZAGI KUVUMILIA KUGEUZWA POPOMA
😁 Ukishaweka logic kwenye mahusiano lazima yakushinde tuKabisa aisee Mimi mtu akiniletea upuuzi tunamaliza hayo mapenzi
Ahsantee 😁Huyo ambae hajakuhurumia ni wa kwako ni chaguo lako, usitujumuishe tusiohusika maana hautujui
Duh i can imagine mume kapambana hivo kachoka kurudi home na kitu kidogo mke anakasirika, nilivo na hasira kesho sileti kabisa acha anune zaidi na makofi atakula.We love women
View attachment 1642598
Mungu akubariki kwa kweliDuh i can imagine mume kapambana hivo kachoka kurudi home na kitu kidogo mke anakasirika, nilivo na hasira kesho sileti kabisa acha anune zaidi na makofi atakula.
Hongereni kwa wapambanaji wote mzidi kubarikiwa kazi za mikono yenu kwa ajili ya familia zenu. Na sisi wanawake tuweni watu wa kuthamini na kushukuru kwa kidogo/kikubwa atacholeta mume. Usimpomfariji wewe atafarijiwa na nani sasa.🤔🤔
Amen! AhsanteM
Mungu akubariki kwa kweli
Heshima PesaNyie pigeni kazi bwana we, heshima itakuja tu.
Huku kwetu wapo wengiSawa lakini KE wakutegemewa na familia nzima ni wachache sana
Mkuu iwe dhawabu na kwako pia 🙏Duh i can imagine mume kapambana hivo kachoka kurudi home na kitu kidogo mke anakasirika, nilivo na hasira kesho sileti kabisa acha anune zaidi na makofi atakula.
Hongereni kwa wapambanaji wote mzidi kubarikiwa kazi za mikono yenu kwa ajili ya familia zenu. Na sisi wanawake tuweni watu wa kuthamini na kushukuru kwa kidogo/kikubwa atacholeta mume. Usimpomfariji wewe atafarijiwa na nani sasa.🤔🤔
Ahahahaha asee umenigusa hapo😁 Ukishaweka logic kwenye mahusiano lazima yakushinde tu
Kheee kumbe wewe mkali enhee?Duh i can imagine mume kapambana hivo kachoka kurudi home na kitu kidogo mke anakasirika, nilivo na hasira kesho sileti kabisa acha anune zaidi na makofi atakula.
Hongereni kwa wapambanaji wote mzidi kubarikiwa kazi za mikono yenu kwa ajili ya familia zenu. Na sisi wanawake tuweni watu wa kuthamini na kushukuru kwa kidogo/kikubwa atacholeta mume. Usimpomfariji wewe atafarijiwa na nani sasa.🤔🤔
😂😂😂 Yani weweMaskinii...umeandika kwa huruma mpk nmejiskia vibaya
N way...sawa tumekuelewa