Muheshimu sana mume wako...

Alafu kinachoudhi wanawake hawanaga huruma
Sio kweli mkuu, wake zetu wana huruma sana, wakati mwingine wanatupa sababu ya uinuka na kupambana hata pale mambo yanapokua magumu

Wanawake wameumbwa kwa guruma, tuaiwasingizie, hii sifa tuwape
 
Back
Top Bottom