GREENER
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 641
- 2,129
Hao wanaume unawaowazungumzia walishatowekaga kitambo, wanaume wengi siku hizi hawapo responsible kwa familia zao, anaweza akawa anapitia yote hayo but sio kwajili ya familia yake, kua uyaone, kwakua hujaoa unfikiri kila mwanaume aliye oa anapohangaika huko mtaani anatafuta kwajili ya familia, nikuibie siri "SIO KWELI" angalia wimbi la wamama na vitoto vichanga mgongoni wakiwa na mabeseni ya mbogamboga kuranda mitaani au mihogo kupitisha kwenye foleni za daladala, wangekuwa na wanaume wawajibikaji wasingekuwa wana hustle kiasi hicho, hadi uone mama na kichanga ana haha juani kukimbizana na magari ujue kuwa hana option, hana mume anayemjali, jamii ya sasa imekuwa na wanaume wa hovyo sana kuwahi kutokea duniani.