Muheshimu sana mume wako...

Muheshimu sana mume wako...

Hahaahaaa unaongea utafikiri sisi huku hatuishi na mafundi.
Kua na ndoa ya amani Inategemea umeowa mwanamke wa namna gani na akili yako mwenyewe.
Wewe unatazama kwenye amani tu Mimi naongelea maisha in general . Watu wanaishi maisha ya tabu sometimes hata hela ya kula ndani ya nyumba wanakosa wanashindwa kujipanga hata watoto zao wanao wazaa wanawaacha tu Kama kuku wanashindwa kuwapa elimu ...maisha yanakuwa yamejaa maumivu yanamna nyingi yenye kukosa matumaini
 
Umenena iliyo kweli mkuu, haya maisha tuyaone tu hivi. Binadamu hadi AFE anakuwa kapitia mambo mazito ni hatari.
 
Ni kweli umasikini unatesa.

But wapo mafundi ambao, yeye huyo huyo anauza mkaa, na analima let say mpunga au ni mfugaji.

Na kuna mafundi ni designer mzuri anaingiza hadi 50k per day.

Kwahiyo ukiona kijana kachafuka na cement na mchanga ni harakati za kusaka mkwanja, sio wote wana maisha ya kushindwa kupeleka chakula nyumbani.
 
Mtihani sana wee acha tu mkuu. miongoni mwetu kuna mpaka wanaojuta kwanini waliwazaliwa ..maisha yanaumiza mno Yana nyanyasa watu
 
Ni kweli umasikini unatesa.

But wapo mafundi ambao, yeye huyo huyo anauza mkaa, na analima let say mpunga au ni mfugaji.

Na kuna mafundi ni designer mzuri anaingiza hadi 50k per day.

Kwahiyo ukiona kijana kachafuka na cement na mchanga ni harakati za kusaka mkwanja, sio wote wana maisha ya kushindwa kupeleka chakula nyumbani.
Research huwa inaangalia majority sawa boss ... Hao unao wazungumzia wewe wapo wachache mnooo hawafiki hata asilimia 3 ya mafundi wote nchi nzima

Halafu Mimi mwenzio naongea kitu kwa experience kazi ninayo fanya inanikutanisha na watu wengi wenye matatizo mbali mbali wengine Huwa wanaongea mpaka wanatokwa na machozi mbele yangu ...Jana tu kuna mtu katoka kumwaga machozi ofisini
 
Wanawake MUNGU anawaona[emoji24]
1049904649.jpg
 
Research huwa inaangalia majority sawa boss ... Hao unao wazungumzia wewe wapo wachache mnooo hawafiki hata asilimia 3 ya mafundi wote nchi nzima

Halafu Mimi mwenzio naongea kitu kwa experience kazi ninayo fanya inanikutanisha na watu wengi wenye matatizo mbali mbali wengine Huwa wanaongea mpaka wanatokwa na machozi mbele yangu ...Jana tu kuna mtu katoka kumwaga machozi ofisini
Umeshinda.
Ndoa ni mtihani mgumu.🙌
 
Ni kweli umasikini unatesa.

But wapo mafundi ambao, yeye huyo huyo anauza mkaa, na analima let say mpunga au ni mfugaji.

Na kuna mafundi ni designer mzuri anaingiza hadi 50k per day.

Kwahiyo ukiona kijana kachafuka na cement na mchanga ni harakati za kusaka mkwanja, sio wote wana maisha ya kushindwa kupeleka chakula nyumbani.
Nakuunga bro kuna kazi nyingi watu wanaingiza hela nzuri ila kazi hizo ni mateso sana
 
Research huwa inaangalia majority sawa boss ... Hao unao wazungumzia wewe wapo wachache mnooo hawafiki hata asilimia 3 ya mafundi wote nchi nzima

Halafu Mimi mwenzio naongea kitu kwa experience kazi ninayo fanya inanikutanisha na watu wengi wenye matatizo mbali mbali wengine Huwa wanaongea mpaka wanatokwa na machozi mbele yangu ...Jana tu kuna mtu katoka kumwaga machozi ofisini
[emoji3516]
NI YA KWELI HAYO NDUGU CHRISS_MAUKI?
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom