Muheshimiwa Nape saidia hii shule jimboni kwako

Nape Sasa hana pesa maana Jack Gotham na Membe siku hizi hawampatii pesa za kumtukana Lowasa , amebakia na mshahara wa Uwaziri ambao unakatwa deni la Toyota Vx Gari la mkopo huku zingine akimalizia kwenye michepuko .
Angewatupia hata vimilioni viwili tu aisee, hawa jamaa wanaadhirika
 
Membe hakuiona hii shule?Maana Nape hata miezi sita hajamaliza akiwa mbunge
Membe alitumia pesa zake zote za NIDA , za 10% Ununuzi nyumba za mabalozi ulaya , za Madili lile fungu la wageni wa kimataifa , Kasma za Wizara na Mabilion ya dola za marehemu Gadafi kumsakama Lowasa tu, kila pesa aliyopata ilitumika kumsakama Lowasa yeye hakuleta maendeleo huko pesa zote zilitumika kuleta waganga wa kienyeji toka Msumbiji na kumfanyia hujuma Lowasa , aliwasahau wapiga kura wake.
 
Kwani mulimpa kura? Hii shule kweli imo kwenye inventory ya serikali ya JMT? Kwa muda mrefu nilikuwa natafuta picha ya kuweka kwenye Avatar yangu, nimeipata sasa!
Nape hakupata kura huko Jimboni bali alichakachua matokeo ( goli la mkono) wananchi wanajua kuwa hawakumchagua kabsa.
 
Membe hakuiona hii shule?Maana Nape hata miezi sita hajamaliza akiwa mbunge
Mkuu, unadhani watu wa Mtama na Kusini wanapenda elimu??? Hapo tu wamepeleka watoto kwa kuchimbwa biti na Mkuu wa Wilaya! Pale Mtama kazi kuu ni kuoa na kuacha. Wanawake nao ni kupigwa mimba tu. Jengo la kisasa la shule wala hawalihitaji, hilo hilo linatosha labda Nape awajengee wodi ya wazazi. Wanatembezeana mipini hadi kero.....
 
Nape Kwa Sasa hana pesa amelemewa na michepuko anayopelekewa na Le Mutuz.
 
Mimi nina mtazamo tofauti, hiyo shule au jengo unaloliona lilijengwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Mh Membe kwa fedha yake binafsi miaka 3 iliyopita. Kabla yake kijiji hiko hakikuwa na mti wa wanafunzi kusomea bali ni jangwa tu na watoto walilazimika kutembea umbali wa km 15 kufuata shule uku wakipita kwenye nyika za wanyama hatarishi.

Mada ni ya msingi kwamba Mbunge aliyepo sasa atafute namna ya kusaidia shule hii. Nadhani ujumbe huu utamfika.
Hivi kumbe kweli hiyo ni shule? Still wananchi wakaichagua CCM? Ama kweli mtaji pekee wa CCM ni umasikini na ujinga!!!
 
Mkuu, unadhani watu wa Mtama na Kusini wanapenda elimu??? Hapo tu wamepeleka watoto kwa kuchimbwa biti na Mkuu wa Wilaya! Pale Mtama kazi kuu ni kuoa na kuacha. Wanawake nao ni kupigwa mimba tu. Jengo la kisasa la shule wala hawalihitaji, hilo hilo linatosha labda Nape awajengee wodi ya wazazi. Wanatembezeana mipini hadi kero.....
Aisee nimewahi pita maeneo hayo na kusini kwa ujumla kufanya umisionari... Aisee kusini nzima ni laana tupu!!!
 
Kama umezaliwa mjini na kukulia mjini itakuwa ngumu sana kuelewa unaishi nchi ya aina gani. Nenda Pwani, kusini kote na mikoa ya kati utajifunza mengi na kuiana Tanzania kwenye utazamo tofauti. Tuko mbali sana na tunakofikiria kwenda! Ndio maana kila mtu anakimbilia mjini. Watu wanafikiria kujenga fly over na kuwa na majengo mazuri mjini ndio maendeleo! Kazi ipo
 
Muheshimiwa sana Nape Nauye hii ni shule ya Msingi Litingi iliyopo kijiji cha Litingi kata ya Nyangao Jimbo lako la Mtama.
Hali ya shule hii ni mbaya mno, watoto wanakalia mabenchi na haina milango, wala ubao wa kufundishia, wala vyoo .
Walimu na wanafunzi wanajisaidia porini, wananchi wako wanakuomba sana Muheshimiwa uisaidie shule yao hii angalau ipate vyoo tu.
Mvua sasa zinanyesha, kuna hatari ya kulipuka ugonjwa wa kipindu pindu.

Juzi wananchi wako wamepata habari namna ulivyotoa Tshs Millioni 3 kwenye tamasha moja la muziki kununua album moja tu, hawakuzuii kutoa maana ni utashi wako, lakini muheshimiwa Wapiga kura wako hawa wanakuomba sana uelekeze huo moyo wako wa utoaji na huku kwao.

Wapiga kura wako wanahitaji Tshs Millioni 2 tu kukarabati kashule kao haka, wasukumesukume siku msimu huu wa mvua upite. Tshs millioni 1 wataitumia kununua mabati mapya 50 waezeke na shilingi millioni 1 nyingine wataitumia kuzibaziba milango na madirisha watoto wasinyeshewe mvua, na kununua ubao mpya wa kuegesha chini ili watoto wasome maana ule uliopo umeliwa na mchwa.

CfMShwqW4AAxIJV.jpg

Mmoja wa wananchi wako amenituma nikuambie haya maana jimboni juzi uliahidi kwenda, lakini ghafla ukapotea ila wanasema wakakusikia uko kwenye matamasha mazito huko Darisalama.
Daaaaaa,hiyo nayo ni kali hata hivyo mhe ana mambo mengi ya kufanya hasa ukizingatia hawa wanamziki ni vijana ambao kimsingi walikuwa wengi wao ni ukawa sasa anajitahidi kuwaonyesha kuwa sasa serikali inawajali sana ili waipende ccm
 
naomba kuonyesha msisitizo

'Juzi wananchi wako wamepata habari namna ulivyotoa Tshs Millioni 3 kwenye tamasha moja la muziki kununua album moja tu, hawakuzuii kutoa maana ni utashi wako, lakini muheshimiwa Wapiga kura wako hawa wanakuomba sana uelekeze huo moyo wako wa utoaji na huku kwao.'
Tukutane tena 2020
 
Hii aibu kwa serikali pamoja kuongoza hilo jimbo kwa zaidi miaka 51 wameshindwa hata kujenga shule kweli CCM wanajali matumbo yao ngoja tuone huyu Nape atayafanyia kazi maoni yako
Tulipo sema kuwa ccm ni ileile hamkutuelewa?shule za namna hii zipo sana dodoma sehemu ambayo wana imani sana na ccm jiulize ni kwanini?
1459821121114.jpg
 
naomba kuonyesha msisitizo

'Juzi wananchi wako wamepata habari namna ulivyotoa Tshs Millioni 3 kwenye tamasha moja la muziki kununua album moja tu, hawakuzuii kutoa maana ni utashi wako, lakini muheshimiwa Wapiga kura wako hawa wanakuomba sana uelekeze huo moyo wako wa utoaji na huku kwao.'
Teh teh teh.
Muheshimiwa anapenda wacheza rumba kuliko watoto wa wazazi waliompa kura.
Hapa mtapiga kelele mpk asubuhi lkn hakitoki kitu.
Labda muanzishe bendi hapo shuleni huenda akavutiwa.
 
Aisee nimewahi pita maeneo hayo na kusini kwa ujumla kufanya umisionari... Aisee kusini nzima ni laana tupu!!!
Walikukosa kosa nini?
Teh teh teh teh.

We endelea tu na Ulokole wako.
Huko hakufai? Utakuja fanyiwa mambo mabaya ulaani Kusini yote wakati Rais wako wa awamu ya tatu katokea huko huko.
 
Back
Top Bottom