muheshimiwa ahonga tshirt na kofia ya chama

Basi wataendelea kugegedwa na kupewa vibendera vya chama...

Masikini ukute aliahidiwa atapewa kafungu na kupendekezwa 2015

Na siku hizi unatumia tu jina unasema....."anaewapendekeza kuteuliwa kuwa VITU MAALUM ni Bwana Mdogo Nanihiii akishirikiana na mama ake mama Nanihii na wote ni mabest wangu so usijali"

ahaaaaaaaa........utawala wa kifalme huu sasa:A S 576:
 
Duh!Huyo denti hakuomba muongozo au kuhoji kuhusu utaratibu kwa muheshmiwa?
 
punguza hasira bwana...mwingine wanasema kabaka bi kizee london huko

yule kabakwa au cheki maelezo yake
mbunge ashindwe kukojoa toilet za pale kwene huo
mkutano akakojoe kwake........ona maelezo yake

Mkutano ulimalizika, sasa nilipokuwa naondoka kurudi nyumbani kwangu, mbunge huyo na wenzake nao walitoka. Tukiwa njiani wenzake walikwenda kujisaidia haja ndogo, yeye akaniomba akajisaide nyumbani kwangu, nilimkubalia.
Alipofika ndani, bila kujua kila kitu kinaonekana kwenye kamera alinibadilikia kama vile adui vitani, ona sasa wema wangu ukawa umeniponza.
Alinirukia, akaniburuza hadi kitandani kwangu. Nilipokuwa mkali na kwa namna nilivyokuwa nimechanganyikiwa sishikiki ndipo akanivamia maungoni, akanichania nguo zangu akitaka nimwachie atimize lengo lake la kuniingilia kimwili kwa nguvu.
 
253343_287974164672044_1148658965_n.jpg
 
Back
Top Bottom