siku ingine atapewa kipeperushi
Ha ha ha, sasa hivi mwenye chat kabisa anapewa nakala ya bajeti
na ahadi ya VITI MAALUMU, lol!ahaaa au katiba ya chama na kadi ya uanachama
eti kuna mheshimiwa mmoja wa hapa tz aliopoa dent wa udom
asubuhi ilipofika dent kudai chake akapewa tshit,kofia na kibendera cha chama...mheshimiwa hakuwa na chochote
miss u too my dear....miss u my dear ....bora ahadi kuliko card ya uanachama aisee
na ahadi ya VITI MAALUMU, lol!
unafikiri hao wanaosogezwa night wana akili ya kupambanua who is who? machoni kwao mbunge ni mbunge tuHii inategemea ni nani uliosogeza nae u-night
Kama ni wakina Serukamba tu na mzee wa kibajaji sahau, utaishia kupewa henkachifu tu ya rangi ya chama
Smile kuwa na heshima kidogo, huwezi kumsema Juma Mkamia namna hiyo bhanaeti kuna mheshimiwa mmoja wa hapa tz aliopoa dent wa udom
asubuhi ilipofika dent kudai chake akapewa tshit,kofia na kibendera cha chama...mheshimiwa hakuwa na chochote
unafikiri hao wanaosogezwa night wana akili ya kupambanua who is who? machoni kwao mbunge ni mbunge tu
ha haaaa, wajinga ndio waliwao, lol!Basi wataendelea kugegedwa na kupewa vibendera vya chama...
Masikini ukute aliahidiwa atapewa kafungu na kupendekezwa 2015
Na siku hizi unatumia tu jina unasema....."anaewapendekeza kuteuliwa kuwa VITU MAALUM ni Bwana Mdogo Nanihiii akishirikiana na mama ake mama Nanihii na wote ni mabest wangu so usijali"