Muhenga aliyesema Mwanamke tabia yuko wapi??

Muhenga aliyesema Mwanamke tabia yuko wapi??

Mwanamke muonekano bhana,ndio maana wanaitwa mapambo.
 
kiukweli mwanamke tako bana
mwanamke lazima uwe na tako
tako lisikosekane kwa mwanamke
mtoto wa kike tako linakuongezea CV
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila we jmaa hayo mavitu unakazi gani nayo??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila we jmaa hayo mavitu unakazi gani nayo??
una uhusiano gani na avatar yako ??
hebu tujulishane
 
wewe hujaelewa kwanini nakuuliza hivyo au makusudi tu?
Cielewi bana je kma umenifananisha [emoji12] [emoji12] [emoji12] au una maana gani mi cyo muhenga ujue[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Cielewi bana je kma umenifananisha [emoji12] [emoji12] [emoji12] au una maana gani mi cyo muhenga ujue[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
nataka nirushe ndoano nivue vyote vinavyovuliwa au unaonaje??
 
Wahenga walikua sahihi ata leo wako sahihi.uzuri wa mwanamke tabia.walisema ivyo kwasababu wanajua kwa wanaume kila jicho lina muuno wake.Hatukupewa macho yanayofanana ndo maana kila mtu anachagua kile jicho lake lilivyoona na jinsi mtakavyoendana kwamaana ya tabia njema,ndo maana kuna wanawake wazur kweli ila wanaume hawawaoi kwasababu kuna vitu wamemisi kwenye tabia.Ukiona mtu anashindwa kumtambulisha mkewe jua kuna tatizo jingine tofauti maana sio ndoa zote zimetokana na upendo.
 
Back
Top Bottom