Muhenga aliyesema Mwanamke tabia yuko wapi??

Muhenga aliyesema Mwanamke tabia yuko wapi??

Mapenzi tu ndio kila kitu. Uzuri na tabia ni subjective. Ona TI yuko radhi kupigana na Floyd kwa ajili tu ya Tiny.

maxresdefault.jpg
Huyu ndio mke wa TI???
 
kiukweli mwanamke tako bana
mwanamke lazima uwe na tako
tako lisikosekane kwa mwanamke
mtoto wa kike tako linakuongezea CV
Ambao hatuna je
Nna rafiki yangu ana kalio hilo lakin hana akili kabisa dakika mbili mbele
 
Sura sipo, tako sina, mie ntakua kwenye group gani jamani
Group O+ve
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hujakosea kwakweli
Group O+ve
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli... Unapozungumzia uzuri wa mwanamke.. Ni tabia pamoja na muonekane wake...


Look at mahondaw wangu... She is blessed with everything... Tabia, nje na ndani kote yupo vizuri sana...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom