Muhammad sio mzao wa Ishamael

Dini ni utumwa mkubwa sana kwa waafrika, na ni upumbavu!!
 
Mafundisho haya ya Wakristo kuwaona Mayahudi hivyo wameyatoa wapi ?

Ashakum si matusi ila Wakristo ni vilaza sana.
 
Kusema Muhammad ana undugu na Ishmail mtoto wa Ibrahimu hiyo maana yake Mohammad ana asili ya kiyahudi. Hiyo ni kufuru kubwa sana katika uislamu.
Mimi nakupa miaka kumi, achilia mbali tu kwa Ismaili, uje ututhibitishie ya kuwa Yesu naye alikuwa ni Myahudi.
 
Ibrahimu hakuna Myahudi kijana. Hivi hizi habari huwa mnazipata wapi ?

Hapa nitakuuliza swali na ukisoma historia, inaonyesha wazi mpaka nabii Musa yuko hai Uyahudi kama dini ilikuwa haipo. Imekuja huko mbeleni japo tarehe haijadhibitiwa.
Neno uyahudi halimaanishi dini pekee.
 
Unajua lengo la mudi na wapambe wake kujisingizia ni uzao wa Ishmael,lengo hasa ni kujinasibisha na wayahudi ili wakubalike
 
orodha hyo hapo.mnatakanini tena
Hakuna Hadith Sahih ya moja kwa moja inayothibitisha nasaba ya Ismail

Hadith zinazotajwa mara nyingi ni za daraja la "mursal" au "dhaif" ambazo hazikidhi masharti ya usahihi. Kwa mfano:

"Allah chose Kinanah from among the children of Ishmael, and He chose Quraysh from among Kinanah, and He chose Banu Hashim from among Quraysh, and He chose me from among Banu Hashim."
(Muslim, Hadith 2276)

Hadith hii inaonyesha kuchaguliwa kwa ukoo, lakini haithibitishi silsila ya moja kwa moja hadi kwa Ismail, na baadhi ya wanazuoni wanasema ni Hadith ya ki-ibn 'Abbas au imetokana na wafuasi wake na si maneno ya Mtume moja kwa moja.
 
BADO UNA MASHAKA?

Hivi hao waislamu unaohangaika nao walikugongea mama yako bila kondomu? Yaani wewe kila ukiamka uislamu kila muda uislamu huoni aibu malaya wewe?
 
muslin sio sahihi?
una matatizo wewe
 
Hivi hao waislamu unaohangaika nao walikugongea mama yako bila kondomu? Yaani wewe kila ukiamka uislamu kila muda uislamu huoni aibu malaya wewe?
Madrasa mnafundishwa kutukana bila kujibu hoja
 
Unajua lengo la mudi na wapambe wake kujisingizia ni uzao wa Ishmael,lengo hasa ni kujinasibisha na wayahudi ili wakubalike
Mudi asili yake ni Muarabu na wala hajawahi kukataa hilo na anajulikana kama mtume (mwarabu), hiyo ya kufikiri kujinajibisha na wayahudi walio muasi Mungu mara kadhaa ni sifa, nafikiri ni mtazamo wako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…