Muhammad sio mzao wa Ishamael

Unaona ulivyo hutumii akili,

Uislamu imejengwa kwa propaganda

WALIO injinia ni wakatoliki hata hiyo Quran ni kazi yao,nitaleta ushahidi nipo naandaa makala
Kama ni kazi yao mbona Sasa hawaijui na hawajui historia yake ?

Kwahiyo wao Wakatoliki wakaambua kutumia propaganda ? Kwa lengo gani au kwa lengo kuharibi nini ?
 
Unaona ulivyo hutumii akili,

Uislamu imejengwa kwa propaganda

WALIO injinia ni wakatoliki hata hiyo Quran ni kazi yao,nitaleta ushahidi nipo naandaa makala
Jifunze kwanza kuandika we juha kabla ya kujaza pumba zako hapa
 
Unataka utafuniwe kila kitu
Hakuna kutafuniwa usifikiri hapa unaongea na Wakristo wenzako, hapa tunataka utuambie wapi umetoa hizo habari.

Inaonekana hata hicho kitabu Cha Musnad hukijui hata linaonekana vipi. Tuambie tunapata wapi hizi habari.

Kingine unapoandika Maliki Ibn Anas, ndio nini Sasa kwenye marejeo ?
 
Kama ni kazi yao mbona Sasa hawaijui na hawajui historia yake ?

Kwahiyo wao Wakatoliki wakaambua kutumia propaganda ? Kwa lengo gani au kwa lengo kuharibi nini ?
Hawaijui ?

Quran imeundwa juzi tu hapo misri na mfalme Fuad, 1924

Ndio maana hata mkiulizwa matin ya Uthman hamna ,mnaleta porojo

Quran ni project ya wakatoliki kupitia chuo cha Al Azhar University

Unajua mahusihano ya Al Azhar University na Vatican?

Nitawaleteeni makala mzidi kufunguka
 
Nenda katafute zaidi,

Maana sio muda utadai ni Hadith dhaifu 🤣
 
Quran imeundwa juzi tu hapo misri na mfalme Fuad, 1924
Tangu Karne ya Saba watu wanayo Qur'an na Tafsiri yaje ipo. Unaongelea Qur'an gani ?

Wakatoliki waliahiriki katika hilo zoezi la uundaji ?
Ndio maana hata mkiulizwa matin ya Uthman hamna ,mnaleta porojo

Naam, matini huenda ikawa haipo, lakini mapokezi ya Qur'an Yana njia nyingi na yote yanafika kwa Mtume. Jambo ambalo Biblia yenu Haina chain hata Moja inayofika kwa Yesu. Ndio maana ikawa Biblia sio maneno ya Mungu.
Quran ni project ya wakatoliki kupitia chuo cha Al Azhar University
Tuwekee ushahidi Sasa, ili tupate faida.
Unajua mahusihano ya Al Azhar University na Vatican?

Siyajui.
Nitawaleteeni makala mzidi kufunguka
Ukija ulete na ushahidi na ututajie majina ya waandishi wa makala hizo.
 
Ila mudi janjajanja nyingi. Kuna zile satanic verses za quran walizifuta eti wanasema shetani alimdanganya Muhammad baadae aliomba msamaha Kwa Allah kupitia Jibril kwa kosa Hilo.

Yani hata madogo wa chekechea hawawezi kufanya hii drama.

So sad

Malaria 2 gallow bird (sayngay)

Nyau de adriz
 

Labda nikuulize swali
Akiwa familia ya Ishmael na asipokuwa familia hiyo inabadilisha nini?
Mbona mtume Mussa amefanya mengi tu na hutujawahi kutumia nguvu kufuatilia uzao wake?
Unavyosema technologia haidanganyi, kwani haujui walioweka hizo data kwenye technologia ni watu? Na kwa taarifa tu, watu wanaweka taarifa kwenye technologia wakikusudia kufikisha ujumbe wanao utaka na ndio sababu mara zote tunawakumbusha kuwa; Hadithi kwenye uislam ziliandikwa takriban miaka 600 baada ya muhamadi na zipo nyingi tu zimeandikwa na wasio waislam kwa lengo la kupotosha na ndio hizo mara nyingi wapotoshaji huzitumia....
 
Umezisoma wewe hizo satanic verses au ulisikia tu kisha unasambaza hizo habari ?
 
Kwa Akili ya kawaida kabisa, Uislam unapinga na kuwalaani vikali wayahudi ambapo Ibrahimu na ukoo wake umetokea. Litakuwa jambo la ajabu mnoo kumuhususha Muhamad na nasaba za koo za kiyahudi.
Ibrahimu hakuna Myahudi kijana. Hivi hizi habari huwa mnazipata wapi ?

Hapa nitakuuliza swali na ukisoma historia, inaonyesha wazi mpaka nabii Musa yuko hai Uyahudi kama dini ilikuwa haipo. Imekuja huko mbeleni japo tarehe haijadhibitiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…