Muhamad alioa mke wa aliyekuwa mtoto wake baada ya kuwafarakanisha na mumewe

Muhamad alioa mke wa aliyekuwa mtoto wake baada ya kuwafarakanisha na mumewe

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,163
Reaction score
22,739
Zayd bin Harithah ni nani?

Alikuwa mtumwa aliyepewa Mtume Muhammad, ambaye alikombolewa na kupendwa kama mwana.

Mtume Muhammad alimchukua kama mwana wa kufikia (adopted son) na watu walimuita "Zayd bin Muhammad" kwa muda.

Lakini baadaye Mtume alikataza kuita watoto wa kufikia kwa majina ya wale waliowalea, ikasisitiza waitwe kwa jina la baba zao wa kweli: akijitengenezea mazingira ya kuja Mgegeda huko mbeleni maana alishampenda.

“Waiteni kwa baba zao; huo ndio uadilifu mbele ya Mwenyezi Mungu...”
(Surah Al-Ahzab 33:5)

Zaynab bint Jahsh ni nani?

Alikuwa binamu wa Mtume Muhammad.

Aliolewa na Zayd bin Harithah kwa ushauri wa Mtume.

Ndoa yao haikudumu, wakatengana (Zayd alimpa talaka Zaynab) baada ya kuwa na mifarakano kila wakati mwanamke akijazwa upepo na Muhamad na kupewa kiburi.

Muhamd anasema kwamba ndoa hii ilitokea kwa amri ya Mwenyezi Mungu, ili kuvunja mila ya Waarabu ya kuona aibu mtu kumuoa mke wa zamani wa mwana wa kufikia, jambo ambalo halina msingi wa kisheria (kwa sababu si mwana wa damu).

"Basi Zayd alipoimaliza haja yake juu yake (yaani akampa talaka), tulikuoza wewe naye (Zaynab), ili isiwe dhambi kwa Waumini kuwaoa wake wa wale waliokuwa watoto wao wa kufikia..."
(Surah Al-Ahzab 33:37)

Miaka hiyo moja ya mambo hatari ambayo mtu angekutana nayo ilikuwa kuwa na mke mzuri na Muhamad akamwona. Angekufitinisha umwache amwoe yeye. Au angesema amepokea wahyi amchukue mke wako kutimiza tamaa zake za kingono.
 
Mudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, nani huyu wa hapa JF wa siasa kali, jina lake limenitoka akuje huku
 
Taifa la Mungu limepigwa huko😅😅😅Mungu wenu kashindwa kuingiza kichwa maana angepigwa na mashia.
 
Mudi aliupenda sana mduduu
1000042843.jpg
 
Back
Top Bottom