Mugalu kapost picha instagram saa 8 usiku akiwa anatafuta goli vs Yanga, atukanwa vibaya

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,893
2,000
Mbona mapema sana kususa kuingia Uwanjani?tuliwaambia hapa kuwa nyinyi hamjui na hampendi mpira bali mnapenda ushindi tuu. Yangu tumepitia magumu miaka 4 but tulikuwa sambamba na timu yetu kwenye shida na raha mpaka tukafikia hatua ya kuingiza mashabiki wengi Uwanjani licha ya kufanya vibaya. Kweli kuimba kupokezana aiseee.
Simba haijafanya vibaya maana hata mashindano hayajaanza...usihitimishe bado mapema sana.
 

Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
1,018
2,000
Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana wa utopolo kina Aucho mbona wao ndiyo mara ya kwanza wamepambana wewe una mechi 3 na utopolo hujazoea tu?

Hili jamaa ndilo likikosa magoli huwa linacheka na kutafuna big G . ANYWAY NASiKIA ANAMKULA MTU FULANI MUHIMU MWANAMKE HAPO SIMBA NI FUNUNU TU ila naanza kuamini maana siyo bure upuuzi huu what a waste RUBBISH SO CALLED STRIKER

hata saa nane usiku huu MSHAMBULIAJI TEGEMEO NAMBARI MOJA WA SIMBA KA POST PICHA AKIWA BIZE KUITAFUTIA SIMBA GOLI LA KUSAWAZISHA KA POST SAA NANE ILA KAKUTANA NA COMMENTS ZENYE HASIRA NA STRESS ZA KUTOSHA

View attachment 1953054
Mugalu Mugalu tujuane
 

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,308
2,000
siyo 100 ongeza sifuri iwe asilimia 1000 nenda insta utaikuta , striker mugalu
Sijasema kuhusu jina la account, nimesema mmiliki wa account. Una uhakika ni yeye? Kwanza katika hisabati huwa hakuna asilimia inayokuwa inazidi 100 ukiondoa zile za makisio
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,863
2,000
"Sifa moja kubwa ya Mugalu anakaba mabeki"hao team Mugalu wanasema hivyo.

Twende sasa kwenye uhalisia,Simba kwa stricker kama Mugalu nafasi 5 hafungi wala agongeshi mwamba yeye ni kupaisha tu mbona hata makundi CAFCL hatutoboi.
Uliona mbali sana, Yametimia.😜😜
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom