Mugabe: Kumuita Mandela mkombozi wa Afrika ni kupotosha historia, yeye ni ukombozi wa Afrika Kusini tu, Lakini Mwl. NYERERE ndo mkombozi

Fanya mambo yako bila kuangalia historia. Utakufa masikini mkuu. Kwanza Nyerere unamjua wewee kama sio kusoma kwenye historia tu kwamba alikuwapo kidume mkombozi Nyerere?
Kufanya kazi hakutuzuii kuongelea historia mkuu. Kwa hiyo usijali kuhusu kazi. Hiyo tunapiga tu.
 
Kweli Nyerere alifanya kazi. Sema ndo ivo inatuaffect mpaka leo
Naam kwa kutaifisha mashule ili na wazawa wengine waweze kusoma..., hii unity ya bila ukabila uliokithiri kama wenzetu wa Kenya n.k., Kutokufuja mali zetu zote kwa wakati mmoja (madini n.k. kama yeye angeanza kuyachimba enzi hizo huenda sasa hivi tungekuwa na makorongo na robo tatu ya nchi ishawekwa rehani)...

In short yeye aliweka misingi ni kazi kwenu kujenga kuta na kuendelea.., tatizo linalotokea sasa ni kuvunja ile misingi ambacho ni kitu pekee ambacho tulikuwa tunaweza kujivunia Afrika nzima na dunia...
 
Back
Top Bottom