Mugabe awasha moto UN!

Wengine wakikutana na kina 50cent wamelizika kweli cku zote mwenye shibe...! Asee ****** kachemka vibaya sana kama mgonjwa anapumilia mashine.
 
Kizee kiko fit ni mwisho!

Hakiogopi sura ya mtu. Kimechanachana kila upande siyo UN, NATO na mahawara zao UK na USA safi mzee! Yaani wangepatikana wengine ngangari kama hawa 20 tu kwa Africa yote wazungu wasingekohoa!

Sasa kizee kinaishia sijui watapatikana wengine wa kutusemea?

Hongera Mugabe angalau umeonesha ujasiri fulani.
 
Tumebakiza kiongozi shupavu mmoja tu hapa Africa baada ya Gadaffi kuondolewa na NATO.Mugabe ndio kiongozi shupavu anayeweza kuzungumza black and white kuhusu unyama unaofanywa na haya mataifa ya Magharibi kwa nchi za Africa.Viva MUgabe
 
Uncle Bob namfananisha na Kambarage ana jeuri ya kuthubutu,ni kama zile enzi za Rhodesia na SA wakati Kambarage peke yake alikuwa na jeuri ya kuwatemea cheche hao watu wa mataifa makubwa,hawa waliobaki sasa ni walamba viatu tu kwa mataifa makubwa ,pamoja na mapungufu yake uncle Bob anabaki kuwa ni mjomba pekee aliyebaki katika ukoo wa waafrika anayeweza kusimama kidete na kuwaambia akina bwana mkubwa kama hiki ni kijiko na sio sepetu
 
sasa ndo mjue Mugabe kuchukua ile ardhi ni sawa kabisa!
ukitegemea cnn na bbc katika ishu ambazo west/watu wao wana maslahi watakudanganya, nyinyi wenyewe si mliona mvua za propaganda walizomnyeshea ghadafi?
 
Kizee kiko fit ni mwisho!

Hakiogopi sura ya mtu. Kimechanachana kila upande siyo UN, NATO na mahawara zao UK na USA safi mzee! Yaani wangepatikana wengine ngangari kama hawa 20 tu kwa Africa yote wazungu wasingekohoa!

Sasa kizee kinaishia sijui watapatikana wengine wa kutusemea?

Hongera Mugabe angalau umeonesha ujasiri fulani.

Huyu ni wa mwisho mkuu. Hakuna na hatatokea mtu hapa Afrika wa kuwaambia
ukweli tena mpaka dunia izame.Dunia nzima wamebaki watatu tu!! Robert MUGABE,AHMEDJEJAD,
na Hudo CHAVEZ. Wengine wote MaZumbukuku Ulimwengu uko huku.
 
Kwenye huo MKUTANO, we are missing GADAFFI,huyu alishawahi hata kukichana kitabu cha UN,
 
Magabe ndio kidume kipekee lkilichobaki Africa baada ya Gadaffi kudhoofishwa.
 
Muuza sura wetu je!! Hakuongea!!!

Yupo lile kundi la akina Zumbukuku ulimwengu uko huku. Akina ndiyo mzee bila kuhoji sababu,
faida na hasara ya kile wanachoambiwa kufanya.

Ukiona kiongozi yeyote wa hizi Nchi zetu changa anasifiwa na Marekani,Ufaransa;Uingereza kwamba
ni mzuri ujue wao wanafaidika kupitia uongozi wake. na wananchi wake wanaumia.
 
Nasubiri kwa hamu hiyo siku BUSH & mwenzie wakipelekwa ICC ... lakini inavyooneka kamwe haitakuja kutokea... ICC ni kwa ajili ya waafrika & waarabu tu
 
Yeah baada ya Gaddafi amebakia peke yake. Sema tu age is not his best ally, otherwise Mugabe is the only true African hero
 
Yani km kuna kitu kinanikera ni double standards ya ICC, UN na dunia hasa ya magharibi.
Kwny int‘l crimes (genocide,war crimes na crimes against humanity) hakuna immunity na kuna kitu kinaitwa universal jurisdiction.
Cha ajabu hukuti hivi vitu vinafanywa huko.Huoni state ikiexcericse universal jurisdiction dhidi ya bush wala blair..
Unless Louis Morreno Occampo sio prosecutor ICC and untill ICC is freed from the western ni ndoto kwa Bush na Blair kufika ICC, labda kutalii!
UN yenyewe na security council‘s credibility is at question..
Kumbukeni mchango wa hizo states kwny genocide ya Rwanda, UN,US and other big states zilivoignore kutake action na badaye kurush kusave dipomats wao wakati innocent civillians wankufa kwa machettes.
Nkifkiriaga hayo na mengine huwa nasema hakuna genuine concern yoyote ya dunia kwa AFRICA.
Africa should be able to stand on its own,create just political and legal system of its own na kudo away na ICC na kuwa strong kwa ujumla.
Najua ni mapema mno,na pengine ni ndoto-but i long for that day.
 
Back
Top Bottom