Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,688
- 1,281
Askari wa ukweli huyo!, Africa tumebaki na rais mmoja tu!, Mugabe. Wapili alikua gadafi sasa wanyonyaji wako wanamkamua mbaya!, wengine wote......!
Mkuu usemacho ni sahihi, madume kwa afrika ni haya mawili tu