B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Rais Robert Mugabe Wa Zimbabwe amewapa sharti watu wanaotaka ahalalishe ndoa za jinsia moja, Akizungumza kwa kujiamini na bila kupindisha maneno Rais Mugabe amesema "Kama Mnataka nihalalishe ndoa za jinsia moja Tukubaliane kuwa Mtazaa" kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya kijamii na kisayansi nchini humo, wamesema ni vigumu kwa watu hao kuzaa na huenda Rais Mugabe aliamua kuwapa hiyo changamoto ili wajitafakari upya. Source, Zimbabwean Newspaper.
I can't agree with you more!nilisikia leo magazetini nilicheka sana, Mugabe rais alie baki afrika mwenye msimamo
Je watazaa wakati gani? Kama ataamuru wazae baada ya 'ndoa', na wakashindwa kuzaa, si atakuwa amekwisha halalisha. Kama ni kabla, mtu si anaweza kuzaa, hususani kama hakuna DNA test, na kusema ya kwamba wamezaa. Hii kali ya siku.
huyu mzee namuheshimu sana!tatizo ni kung'ang'ania madaraka tu ndo kunamuharibia.
I can't agree with you more!
ww umehusuriwa! Hulijui ulinenalo!Gays and homosexuals nao ni binadamu pia,kama wamependana na wanataka kuoana waacheni wafanye hivyo,hayo maadili na dini zenu kila mtu ana yake na tusilazimishane ndio maana TZ is a secular state...nasema YES to gay marriages!!!
Samahani wamebaki wawili na Kikwete dhani hapo utakubalina nami....
It's ok to be gay .Ila sio kilazimisha society ikubali Kuwa ndoa ni Kati ya Watu wawili .ndoa ni Kati ya mwanamke na mwanaume