Viongozi wengi Afrika ni populists; hawana visions zaidi ya kutumia 'ujinga' wa wananchi wengi kufanya cosmetic politics kwa nia ya kuwafurahisha wananchi wasiofahamu hata haki zao za kiraia n.k.Ukiwa tu outspoken kuongea hovyo hovyo na kutukana Marekani bila kufanya Kazi yeyote ya msingi waafrica wanakupenda. Leo hii JPM aanze kutukana Marekani kila muda hata asipofanya kitu kingine chochote atapata wafuasi zaidi. Kuiba akili za waafrika kazi rahisi sana
Miafrika ndivyo tulivyoViongozi wengi Afrika ni populists; hawana visions zaidi ya kutumia 'ujinga' wa wananchi wengi kufanya cosmetic politics kwa nia ya kuwafurahisha wananchi wasiofahamu hata haki zao za kiraia n.k.
Na wanaowasifu wazungu je?Wanaomsifu Mugabe sijui huwa wanatumia kiungo gani kufikiri.
Wale wazungu walikuwa wanalima kwa akili. Walitumia boreholes, farm equipment kibao. Sasa Mugabe atuambie hiyo ardhi fertile aliyodai wamejichukulia si ndiyo hiyo baada ya kuchukua wao imekuwa kame!Lazima asalimu Amri kwa hawa watu, mentality yao ni kubwa sana. Mbona kabla ya kuwatukana hakupata baa la njaa?
hili ni kweli kabisa mkuu, kuna mama mmoja Burundi alikua anahojiwa na BBC akasema anamkubali sana nkurunziza kwa kua alimuona akimsafisha mtoto wa masikini miguu, juzi Joseph kabila katoa magari ya dola 60,000 kwa wachezaji wake watu wamemshangilia sana wakati aneshindwa kufanya uchaguzi kisa hela hakuna, na umasikini uliojithiriViongozi wengi Afrika ni populists; hawana visions zaidi ya kutumia 'ujinga' wa wananchi wengi kufanya cosmetic politics kwa nia ya kuwafurahisha wananchi wasiofahamu hata haki zao za kiraia n.k.
Zimbabwe ya miaka ya 90 ilikuwa juu sana nakumbuka hata sarafu yao Zimdollar ilikuwa na thamani kuliko Shilingi, sasa hivi wanatumia yuan ya chinaMugabe ni mpuuzi sana!,nchi yake ulikuwa imejaa asali na maziwa lkn kwa uchu wake wa madaraka kaisambaratisha vipandevipande nchi yake now anaomba msaada!,
Sasa si ndo aitumie hiyo ardhi kuzalisha chakula?Yaani we unamnyang'anya mtu nyavu zako kisha unamfata akugawie samaki!Na wanaowasifu wazungu je?
Mugabe ni MASKINI jeuri! Wazungu ni wanyonyaji sana na hawana adabu! Wakikupa dola 1, wanachukua kiujanja dola 3! Mugabe kuwanyang'anya wazungu ardhi waliyoipora ndio kiini cha chuki ya wazungu kwa Mugabe! Hapo Mugabe ana kosa gani?
Umetisha sana mkuuKuku kala mchele asubuhi jioni kaliwa na wali