Mugabe aomba msaada wa dola bilioni moja za Marekani

Mugabe aomba msaada wa dola bilioni moja za Marekani

Duu pole yao aisee. We Africans are trapped in poverty, wachawi wetu ni nchi zilizoendelea.. Hawapendi tuendelee maana watakosa shemu ya kujipatia malighafi! Taifa kubwa halijawahi kupoteza hata siku moja, usione yanatolewa mabilioni ya dola ukadhani they are donated in vain!
Ghadafi alitaka kuandaa suluhisho la umasikini/utegemezi wa nchi za Kiafrika leo kwisha habari yake..
Mugabe jembe letu leo limesalimu amri, kweli ukitaka kuwa mbabe hakikisha umejitosheleza katika nyanja zote..
hao wazungu mnaowalaumu kila kukicha waliwalazimisha kufanya mnachofanya? waliwatawala, then wameaachia nchi zenu, na mna hiari ya kushirikiana nao kwenye biashara au kama hamtaki basi mpo huru
kuwalaumu wazungu kwenye kila tatizo la africa naona ni kukosa uelewa
 
Sijaona mahali alipoomba msaada kwa wazungu, ila watu wamesha conclude tayari.
 
Sijaona mahali alipoomba msaada kwa wazungu, ila watu wamesha conclude tayari.
Magnifico
Hujasikia kuwa Mugabe anaomba msaada huo kutoka Ethiopia na Burundi?
Mapesa ya wazungu, Mugabe hayataki hata kama wazungu watajipendekeza na kumpatia ile kitu imeandikwa "kwa hisani ya watu wa Marekani" au "kwa hisani ya watu weupe".

Link Zimbabwe Asks for Funding to Avoid Food Shortages

Link2. Mugabe declares drought disaster - Nehanda Radio

Link3.Zimbabwe Seeks $1.6B In Aid To Fight Drought, Avoid Starvation
link4. Zimbabwe seeks $1.5bn in drought aid
 
Mugabe pamoja na kuwa na takataka zote za digrii lakini kitu kidogo tu njaa. Kimemshinda.
Wasomi wengi kama wakina mgabe ambao wanajifanya wanajua kila kitu ndio wanao chelewesha maendeleo ya afrika.
 
They got rid of people that produced
food now they are complaining that they have no food.
waafrica ndovyo tulivyo tuna matatizo ya akili by DNA angalia south africa kuweka rais mweusi nchi inaenda shimon sasa ivi baada ya miaka 10 watakua kama sie mda wazungu washarudi kwao
 
Back
Top Bottom