Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Viongozi wengi Afrika ni populists; hawana visions zaidi ya kutumia 'ujinga' wa wananchi wengi kufanya cosmetic politics kwa nia ya kuwafurahisha wananchi wasiofahamu hata haki zao za kiraia n.k.Ukiwa tu outspoken kuongea hovyo hovyo na kutukana Marekani bila kufanya Kazi yeyote ya msingi waafrica wanakupenda. Leo hii JPM aanze kutukana Marekani kila muda hata asipofanya kitu kingine chochote atapata wafuasi zaidi. Kuiba akili za waafrika kazi rahisi sana