Mugabe aomba msaada wa dola bilioni moja za Marekani

Mugabe aomba msaada wa dola bilioni moja za Marekani

Mugabe anajidhalilisha tayar amejifananisha na waislamu ambao kila siku wanawatukana wakristo na kuwaita makafri lakn kila siku wanaomba misaada kwa wakristo wengne wanafia njian wakikimbilia kwenda kuishi kwa makafiri utadhan hawajaziona nchi za waislamu wenzao
duuuh, hapo sasa, ila kuwa makini usije anzisha vita kali kwenye huu uzi
 
Dah ....si aliwatukana wahisani matusi ya kufa mtu.
Ni busara Mzee Mugabe apumzike sasa ili kutoa fursa ya mawazo mapya.
 
Na wanaowasifu wazungu je?
Mugabe ni MASKINI jeuri!
Wazungu ni wanyonyaji sana na hawana adabu! Wakikupa dola 1, wanachukua kiujanja dola 3! Mugabe kuwanyang'anya wazungu ardhi waliyoipora ndio kiini cha chuki ya wazungu kwa Mugabe! Hapo Mugabe ana kosa gani?

Wacha kusifia ujinga wewe! Kuna jeuri mbele ya njaa! Sasa analilia nini tena? Na aendelee na jeuri yake huku watu wake wanakufa kwa njaa.
 
Mugabe anajidhalilisha tayar amejifananisha na waislamu ambao kila siku wanawatukana wakristo na kuwaita makafri lakn kila siku wanaomba misaada kwa wakristo wengne wanafia njian wakikimbilia kwenda kuishi kwa makafiri utadhan hawajaziona nchi za waislamu wenzao
Wewe sasa huko unakotupeleka siko! Hii mada inahusu Mugabe na kuomba misaada, hayo yako wewe na Waislamu ungeyaanzishia mada yako ili wewe na wadini wenzio muchangie. Usiharibu mada za watu. Msengerema wewe.
 
rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameomba kupatiwa msaada wa dola bilioni moja za kimarekani ili kukabiliana na baa la njaa lililosababishwa na ukame nchini humo

Taifa hilo halijapokea mvua ya kutosha tangu mwaka jana na watu 1.5 milioni wanahitaji msaada wa chakula, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.

Maelfu ya mifugo wamefariki kutokana na ukame.
chanzo :BBC

Kajinga sana hako kababu! Juzi tu kule AU mjini Addis Ababa; kaliwakandia sana wazungu eti "those guys with yellow faces and pink noses!" Leo kanatembeza bakuli! Nani atakasaidia janga kubwa kama hilo? 4 sure JPM hataweza maana hazina alikuta shs 350:00 tu! M7 yuko bize na kupiga wapinzani, Malawi njaa kali, kwa zuma yuko bize na sakata pesa kwa ajili ya Nkhandla residence!
 
HAPO Sasa, Yeye Si Jeuri Kwa Kujifanya Ana Uwezo Wa Kujitegemea Kiuchumi!! ANAOMBA Msaada Wa Nini Tena!!!!!
 
Duu pole yao aisee. We Africans are trapped in poverty, wachawi wetu ni nchi zilizoendelea.. Hawapendi tuendelee maana watakosa shemu ya kujipatia malighafi! Taifa kubwa halijawahi kupoteza hata siku moja, usione yanatolewa mabilioni ya dola ukadhani they are donated in vain!
Ghadafi alitaka kuandaa suluhisho la umasikini/utegemezi wa nchi za Kiafrika leo kwisha habari yake..
Mugabe jembe letu leo limesalimu amri, kweli ukitaka kuwa mbabe hakikisha umejitosheleza katika nyanja zote..
 
Na wanaowasifu wazungu je?
Mugabe ni MASKINI jeuri! Wazungu ni wanyonyaji sana na hawana adabu! Wakikupa dola 1, wanachukua kiujanja dola 3! Mugabe kuwanyang'anya wazungu ardhi waliyoipora ndio kiini cha chuki ya wazungu kwa Mugabe! Hapo Mugabe ana kosa gani?
only wisemen know, kuwa wale wanaoamini ni bora kuzaliwa mbwa ulaya au marekani kuliko kuzaliwa mtu afrika, sasa hao ndio pro-America & europe
 
Kuna watu wana msifia sana mugabe humu!!
Jamaa ameiharibu Zimbabwe Kwa sababu ya uroho wa madaraka.
huo uroho wa madaraka unaoshabikia hapa ni kwa sababu ya kupigiwa debe na vyombo vya habari vya magharibi, kisa nadhani wakijua, yaani kwa maana nyingine hata leo hii bwana ma-padlock akiamua kuwanyang'anya wamarekani na wazungu wengineeo ile migodi waliyopewa bure utakuja kuniambia kitakachotokea, kwa hiyo ni either salimu amri uishi kwa mkate au simama ukose kabisa huo mkate
 
Mkuu hivi umewahi fika Zimbabwe?
Mimi mishe zangu ni Tanzania, Zimbabwe na Kwa niliyo yaona na kuyasikia yame nitoa machozi.

Ile ameiharibu mwenyewe hakuna haja ya kusingizia wazungu. Corruption, malpractice, kujilimbikizia mali (mashamba, viwanda) walivyo chukua Kwa wazungu. Maamuzi yake yalikua ya kisiasa zaidi ili yeye na Zanu-pf wabaki madarakani kuliko kuyaboresha maisha ya wazimbabwe masikini.
 
Wewe sasa huko unakotupeleka siko! Hii mada inahusu Mugabe na kuomba misaada, hayo yako wewe na Waislamu ungeyaanzishia mada yako ili wewe na wadini wenzio muchangie. Usiharibu mada za watu. Msengerema wewe.
tulia ww acha povu hilo kwan uwongo?
Waislamu ni sawa na akili ya sasa ya mugabe, wanawaita wenzao makafiri lakn wakipata matatzo wanakimbilia hukohuko kwa makafiri huku wakat wanajua kabisa kuna nchi za waislamu wenzao. Wakat huko kwao wakijilipua mabom
cc @khahtaan ,Ritz, FaizaFoxy
 
mugabe anazeeka vibaya. Lakn bado namkubali sana sema tu kwasasa ameshazeeka, uzee unamsumbua
 
tulia ww acha povu hilo kwan uwongo?
Waislamu ni sawa na akili ya sasa ya mugabe, wanawaita wenzao makafiri lakn wakipata matatzo wanakimbilia hukohuko kwa makafiri huku wakat wanajua kabisa kuna nchi za waislamu wenzao. Wakat huko kwao wakijilipua mabom
cc @khahtaan ,Ritz, FaizaFoxy
si wanaenda huko kwa makafiri kutumia rasilimali walizoibiwa na hiyo MIJIKAFIRI iliyokubuhu,
 
Mkuu hivi umewahi fika Zimbabwe?
Mimi mishe zangu ni Tanzania, Zimbabwe na Kwa niliyo yaona na kuyasikia yame nitoa machozi.

Ile ameiharibu mwenyewe hakuna haja ya kusingizia wazungu. Corruption, malpractice, kujilimbikizia mali (mashamba, viwanda) walivyo chukua Kwa wazungu. Maamuzi yake yalikua ya kisiasa zaidi ili yeye na Zanu-pf wabaki madarakani kuliko kuyaboresha maisha ya wazimbabwe masikini.
sikatai ila hao wazungu nao wana mchango mkubwa mno katika kuzorotesha hali ya uchumi wa zimbabwe
 
Back
Top Bottom