Hahahaah u made my day mkuuKweli njaa haina baunsa.
mimi mwenyewe nawashangaa, watu wa Zimbabwe wamekua wakimbizi south Africa, wanadharaulika sana na leo hii wananchi wanakufa njaa huku yeye na familia yake wakiishi kifahariWanaomsifu Mugabe sijui huwa wanatumia kiungo gani kufikiri.
Pumbaf* huyu mzee. Anaamini yeye tuu ndio mwenye akili Zimbabwe yote.rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameomba kupatiwa msaada wa dola bilioni moja za kimarekani ili kukabiliana na baa la njaa lililosababishwa na ukame nchini humo
chanzo: mitandao mbalimbali
Sisi wenyewe wananchi wetu wanakula viwavi kwa sababu ya njaaTanzania tutampa chakula.
Ukiwa tu outspoken kuongea hovyo hovyo na kutukana Marekani bila kufanya Kazi yeyote ya msingi waafrica wanakupenda. Leo hii JPM aanze kutukana Marekani kila muda hata asipofanya kitu kingine chochote atapata wafuasi zaidi. Kuiba akili za waafrika kazi rahisi sanaWanaomsifu Mugabe sijui huwa wanatumia kiungo gani kufikiri.
huyu jamaa ana bahati mbaya sana,juzi tu katukana hao European,na kusema wachina ndo kila kitu.sasa awaambie wachina wampe msaada.Ama kweli usitukane wakunge wakati uzazi ungali upo