Mugabe Anena - Tutajitoa SADC

Mugabe Anena - Tutajitoa SADC

Getstart

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
6,658
Reaction score
2,235
Rais Robert Mugabe ametishia Zimbabwe kujitoa kwenye uanachama wa SADC ikiwa umoja huo utaendelea kupinga kufanyika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe mwishoni mwa mwezi huu. Haya nayo mambo! Hii ni kwa mujibu wa taafifa ya habari ya BBC
 
Huyu king'ang'anizi anatafuta kubaki katika habari kwa nguvu!
 
Huyu king'ang'anizi anatafuta kubaki katika habari kwa nguvu!
Sijui kama ni kwa faida ya Zimbabwe au yake binafsi na wafuasi wake! Wengi tulitarajia baada ya matatizo yote haya Zimbabwe itatoka na mfumo utakaoihakikishia mshikamano na umoja. Lakini inaonekana bado itakuwa na migawanyiko.
 
Kibabu Mugabe akiwa bado kitini hakuna badiliko la maana litakalotokea Zimbabwe.
 
Mzee anazidi kupoteza heshima na marafiki.From hero to zero.
 
Back
Top Bottom