Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,864
- 141,434
Moot question.
Waafrika hawana natural genetic make-up ya upunguani kuliko Watu wa mabara mengine. Matatizo ya Kiafrika sio kielelezo cha kutangua hiyo fact ya Kisayansi.
The scientific method, au mfumo wa Kisayansi wa kutatufa ukweli, unakataa hitimosho kwamba matatizo ya Afrika ni kielelezo cha ufupi wa akili.
Kwa scientific method inavyofanya kazi, ili uweze ku propose kwamba Waafrika wana akili finyu kuliko Weupe kwa sababu Waafrika wana matatizo kuliko Wazungu, inabidi ufananishe hayo matatizo ya Waafrika dhidi ya yale ya Wazungu wakati natural factors nyingine zote ziko constant. Hizo factors zingine hakifanani. Kwa hiyo haiwezi kufanyika utafiti dhibiti, hakuna controlled experiment.
Hilo hitimisho lingekuwa valid iwapo toka zama za kale za Mawe, vitu vyote ambavyo haviamuliwi na akili vingekuwa sawa. Mazingira yao wote wawili yangekuwa sawa, na hakuna aliye mhodhi mwenzie, vijidudu vilivyoua Mimea, Watu na Wanyama vingekuwa sawa Ulaya na Afrika, Aina ya Ardhi kati yao ingekuwa sawa, mahitaji yao yangekuwa sawa na hali ya hewa ingekuwa sawa. Haya, na mengi mengine ya asili hayakuwa sawa. Kwa hiyo huwezi kusema lolote kuhusu mlinganyo wa akili kati yao kwa kutumia matatizo ya Afrika. Litakuwa hitimisho lililopungukiwa fikra za Kisayansi.
Bahati nzuri, hata hivyo, hatuna haja ya kufikiria yote hayo yasiyofikirika, ya kama ingekuwa kote kuna ardhi ya aina ile ile, au jua la utosi kali ingekuwaje. Ila tunajua Waafrika hawaku evolve kuwa mbumbumbu kwa sababu Sayansi imeenda moja kwa moja kwenye kidhibiti. Tumeuchana na kuuanika Ubongo wa binadamu, tukachambua molecular make up yao wote kama makundi. Takuta katika ngazi ya DNA, hakuna kundi la watu la rangi au Kijiografia, ambao wanafana akili. Nadharia za Dr. Watson ni watu wasiojua genetics au wabaguzi.
Mwafrika akisema hivyo mara nyingi sio mbaguzi, bali ni uninformed tu. Lakini the uninformed who ignores knowledge and reasoned science is an ignorant.
Hujajibu swali bali umeongea pumba nyiiingi ambazo hazijibu swali hata punje moja. Jibu swali bana....acha longolongo....
Nimeanza kwa kusema swali ni moot. Halafu nikaleza kwa nini.
Nitarudia kifupi: Matatizo ya Afrika hayawezi kutuambia chochote kuhusu upeo wa Waafrika.
Nikasema, tunayo tayari njia sahihi zaidi ya kujua upeo wa Waafrika bila kutegemea ma factors mengine ambayo sio conclusive: Kwa kuuchana ubongo na kuangalia biomolecular make-up yake na kulinganisha watu wote.
Wewe unaongea kwa hasira, ukiniita juha kwa kukupa genetics inavyosema. Hiyo hasira, inawezekana Kisaikolojia, ni complex inayokukula moyoni kwa sababu unaamini sisi ni punguani halafu inakuuma.
Sio kweli kwamba sisi ni vichwa panzi. Sayansi inakataa. Usiumie.
His explanation will be 'colonialism', 'slavery', poor leadership'.....and mind you, he's running his mouth while riding the American gravy train....
Sasa kama matatizo ya Afrika hayatuambii kuhusu upeo wa Waafrika, yanatuambia nini sasa?
Mimi nimeonyesha, kwa hoja za molecular genetics, kwamba hakuna kundi la akili la binadamu linaloendana na rangi au eneo la jiografia, na kwa hiyo hakuna race au Bara la wenye akili kuliko wengine.
Kwa misingi ya the scientific method, sihitaji tena kuthibitisha hiyo argument yangu kwa kukuonyesha sababu za matatizo ya Afrika yana point kwingine.
Wewe ndio inabidi u disprove hoja yangu kwamba molecular genetics ni uongo.
Ukiiniuliza 'sasa kama ndio hivyo...' inabidi kwanza ukubali kwamba umeelewa hoja yangu, halafu ndio nitaanza kujadili huo unyuma wa Waafrika na kukuambia hilo linatueleza nini kuhusu Waafrika, jambo linalofanya baadhi yenu mdhani ni mapungufu ya nati kichwani.
Wakubaliana na molecular genetics?
utumiaji wa vyakula vyenye omega 3 fatty acids unaweza kuathiri upeo wa akili ya mtu bila kutegemea genetical make up. Nchi zilizoendelea nyingi ambazo wakina mama wajawazito na watoto wanatapata supplements za hizi essential fatty acids IQ yao huongezeka kwa ujumla ukilinganisha na watoto ambao mama zao na watotot wenyewe hawakupata. Brain activiy ya mtoto anapokuwa mdogo pia inachangia kuchangamka kwa akili in relation na mtoto ambaye hapati brain acitivies hata kama IQ yak ni kubwa. So aprt from genetical inheritance, environmental factors zinaplay role katika upungufu wa nati especially kwa baadhi ya waafrika.
Nime highlight tatizo la argument yako.
Mimi nimeonyesha, kwa hoja za molecular genetics, kwamba hakuna kundi la akili la binadamu linaloendana na rangi au eneo la jiografia, na kwa hiyo hakuna race au Bara la wenye akili kuliko wengine.
Kwa misingi ya the scientific method, sihitaji tena kuthibitisha hiyo argument yangu kwa kukuonyesha sababu za matatizo ya Afrika yana point kwingine.
Wewe ndio inabidi u disprove hoja yangu kwamba molecular genetics ni uongo.
Ukiiniuliza 'sasa kama ndio hivyo...' inabidi kwanza ukubali kwamba umeelewa hoja yangu, halafu ndio nitaanza kujadili huo unyuma wa Waafrika na kukuambia hilo linatueleza nini kuhusu Waafrika, jambo linalofanya baadhi yenu mdhani ni mapungufu ya nati kichwani.
Wakubaliana na molecular genetics?
Nipe kwanza majina ya waasisi wa molecular genetics na nchi/ mabara waliyotokea halafu tutaendelea na mjadala.....
Kwa sehemu kubwa Wazungu wa Ulaya na Marekani.
Jmushi,
Siamini kama Best kachukua tena nnji!????
Wazungu wa ulaya na Marekani sio majina.....umetoa sehemu wanazotoka....kama hujui majina yao omba msaada....
Niombe msaada kwa nani wewe Nyani uliye uliza swali, au? Au ilikuwa vitendawili vya ukishindwa nipe mji? Majina ya Wanasayansi yanatusaidia nini hapa?
Waliogundua DNA double helix ndio waasisi wa Molecular Genetics. Mmoja Mmarekani mmoja Mwingereza.
Mmoja wao ame lost his marbles uzeeni. Haheshimiki tena. Anatoa madai ambayo hayatumii sayansi hiyo hiyo aliyo iasisi. Ni senile ile mbaya. In England they banned his ass from speaking in certain scientific societies.
Hivi karibuni amekuwa akiomba omba misamaha kwa bigoted notions zake. Cha muhimu kuliko vyote ni kwamba hakuwahi kuandika paper ( peer-review scientific research) inayo demonstrate his bigoted rants.
Ni mara chache, chache mno, kukuta Mwafrika riding on that man's cocktails by saying Waafrika tumeumbwa wapumbavu kuliko Wazungu. Na wengine wote hapa jamvini wanaofuatisha Nyani Ngabu's Complex sidhani kama wanaelewa maana ya Ndivyo Tulivyo.
Viongozi wetu wanautumia udhaifu wa watu kama kina NYANI NGABU wenye kudai AFRIKA NDIVYO TULIVYO!
Sasa hizo ni falsafa za kiMKAPA!
Kwani ndiye aliyeutumia udhaifu wa kutokuelewa kwa wananchi na kuuza nchi yao.
Hakujua YANA MWISHO!