History Kweli Imekupiga Tobo!
USSR Iliangushwa Na Reagan Miaka Ya 80!
REMEMBER GORBACHEV?
Got It?
Tehe tehe tehe!!!!, Wajua ba-nkwe wengine tulikimbia umande, hata hiyo historia yenyee hatujui maana yake nini!!! any way , I HOPE THE FOLLOWING (Copied and pasted un-edited) PARAGRAPH WILL HELP!!!!
USSR, was a former country of eastern Europe and northern Asia with coastlines on the Baltic and Black seas and the Arctic and Pacific oceans. It was established in December 1922 with the union of the Russian SFSR (proclaimed after the Russian Revolution of 1917) and various other soviet republics, including Belorussia and the Ukraine. In 1991 a number of consituent republics declared their independence, and the USSR was officially dissolved on December 31, 1991. Moscow was the capital.
http://en.wikipedia.org/wiki/Soviet_Union[URL]http://en.wikipedia.org/wiki/Soviet_Union[/URL]
Tehe tehe tehe!!!!, Wajua ba-nkwe wengine tulikimbia umande, hata hiyo historia yenyee hatujui maana yake nini!!! any way , I HOPE THE FOLLOWING (Copied and pasted un-edited) PARAGRAPH WILL HELP!!!!
USSR, was a former country of eastern Europe and northern Asia with coastlines on the Baltic and Black seas and the Arctic and Pacific oceans. It was established in December 1922 with the union of the Russian SFSR (proclaimed after the Russian Revolution of 1917) and various other soviet republics, including Belorussia and the Ukraine. In 1991 a number of consituent republics declared their independence, and the USSR was officially dissolved on December 31, 1991. Moscow was the capital.
http://en.wikipedia.org/wiki/Soviet_Union
http://en.wikipedia.org/wiki/Soviet_Union
JmUshi1: Bush is nuts but the difference is that he is not allowed to stay 'until God removes him' yeye anajiondokea after 8 years na hapa katikati he had to fight for his seat fair and square. Also bush is held accountable by the congress etc kwa kila kitu including Iraq na kama unafuatilia utakuwa umesikia kwamba there are steps taken to try him for war crimes. Lakini Mugabe is a different category! He is not only nuts but he is a sadist!
so what u are sayin therez a different class of a NUT CASE? A NUT IS A NUT..! bush stole elections twice..! how many times? TWICE..! bush has invaided sovereign states (somalia, iraq, afghanistan) and illegally killed a president of iraq..! how many presidents has mugabe killed? and fyi bush IS NOT HELD ACCOUNTABLE FOR ANYTHING HE HAS DONE...! nani kakuambia atashtakiwa na war crimes? are yu serius? if mugabe is a sadist who bush is ...sadomasochism?
Hivi Afrika tumerogwa!????
History Kweli Imekupiga Tobo!
USSR Iliangushwa Na Reagan Miaka Ya 80!
REMEMBER GORBACHEV?
Miaka Ya 90's Ni Kichaka Sr Na Buzi La Lewinsky!
usisahau mchango wa papa yahane paul 11, kuwa mchango wake mkuu na kanisa lake katoliki ndo ulipelekea kuanguka kwa dola la kiimla la USSR

Wote kitu moja tu!
Si haya haya ya BUSH NA BLAIR?
Hivi Afrika tumerogwa!????
mara nyingi huwa nalia na .......INFERIORITY COMPLEX..........!Unaweza kutumia jina lolote but the fact is... Tulizaliwa na KIPAJI CHA KUWA WATUMWA..wa kutumikishwa na kutawaliwa ..kuanzia zamani , sasa mpaka sikuzijazo. Na kipaji chetu tumekuwa na kitumia vizuri so far!!!
Kutwaliwa..Kiakili, kihisia , kimwili na vitendo... We are good in that!
The best Mwafrika anaweza kuwa huru. Ni kuutumuia uhuru huo ni kuchagua anaweza kupractise utumwa wake vizuri kwenye nyanja gani.
Anaweza kupata Phd ili kuutekeleza utuwma wake kikamilifu zaidi.
Anaweza kuwa Mbunge ili kutumia kipaji cha utumwa wake kikamilifu.
Anaweza kuwa waziri ili kuboresha zawadi yake hiyo aliyopewa na mungu?.. kuukamilisha utumwa kwenye jamii anoyoishi.
Anaweza kuwa Rais ili kuongoza wananchi wake kwnye kina kikubwa na kisicho na mwisho kwenye Utumwa wa taifa analoliogoza.
Kwani sivyo ilivyo...?
Kwani viogozi wetu wanatuogoza kuelekea UHURU gani baada ya kupata uhuru?
Wasomi wetu wamechangia nini katika kuujenga na kuukomaza uhuru wa fikra hisia na kimatendo?
Bunge..hasa la Tz..Linatupeleka wapi? Kwenye uhuru ? uhuru gani?????
Mawaziri wapi..wana dhana sahihi ya uhuru na kuitekeleza..ili kuwakwamua wananchi kwenye utumwa wa Umasikini, ujinga , magonjwa, kutumikishwa nk.
Nitajie kiongozi wa Africa..Ambaye Ni mfano Bora wa Kuwa ana JITAWALA yeye binafsi kifkra, Kihisia na kiamtendo.
Rais wetu Kikwete anaamini kwenye Dhana Nzima ya Taifa kuwa HURU Kisiasa..Kiuchumi...Kielimu..Kiafya...Kama ilivyokwenye katiba ya nchi?
Anaamini Tanzania Iatakaa iwe Huru na kutoendeshwa na wawekezaji...??
Lete ushahidi.
Ukweli ni huu:
Bora Mtumwa anaye jua kuwa ni Mtumwa..Kwani Kama ikatokea dawa ya kumtibu ..atajitokeza na kusogea mbele ili anywe na apone.
Tatizo?
Waafrika Tunafikiri tuko huru...Na Tumeshijikomboa.
Unaweza kutumia jina lolote but the fact is... Tulizaliwa na KIPAJI CHA KUWA WATUMWA..wa kutumikishwa na kutawaliwa ..kuanzia zamani , sasa mpaka sikuzijazo. Na kipaji chetu tumekuwa na kitumia vizuri so far!!!
mara nyingi huwa nalia na .......INFERIORITY COMPLEX..........!
THE ONE IS THE EXAMPLE....!
TULI na nani? ladba we ndo ulizaliwa na hicho kipaji cha kuwa mtumwa. i jus can't believe tht yu can tell such a thing to your family especially ur kids. kweli ignorance is bliss..!
TULI na nani? ladba we ndo ulizaliwa na hicho kipaji cha kuwa mtumwa. i jus can't believe tht yu can tell such a thing to your family especially ur kids. kweli ignorance is bliss..!
Ahsante.
Tena sio yeye peka yake. Ni pamoja na yeyote yule hapa jamvini ambae anaetumia nadharia za 'Ndivyo Tulivyo.'
Wangejua maana yake wasingeitumia. I venture to say that hata Nyani Ngabu mwenyewe sijui kama anaelewa maana yake.
Dr. Watson alikuwa anamaanisha kwamba Weusi, Kibailojia, tumeumbwa na nati luzi kichwani. Wanaompinga Dr. Watson sio Waafrika peke yao, ila pamoja na Wazungu wenzie, Wanasayansi, wakimwambia Genetics haisemi hivyo. Hakuna wenye akili kuliko wengine, as a racial or geographic group. Na wanao msapoti DR. Watson na Nyani Ngabu ni wale wasiojua Genetics.
Siongei kwa sababu nina utashi wa mtu Mweusi au sina open mind. La hasha. Kama Weusi tumeumbwa wapumbavu kuliko wenzetu, ningependa sana kujua. Nisingetaka kukimbia ukweli. Ila nasema, ni Sayansi ndio inakataa nadharia ya kujidhalilisha na kukubaliana na DR. Watson, ambayo imeitwa ignorant and racist, mnapo jiambia ndivyo mlivyo. I reject this Nyani Ngabu's Complex.
Gentlemen, include me out!
So what is your explanation or reason of Africa's misfortune?
Ahsante.
Tena sio yeye peke yake. Ni pamoja na yeyote yule hapa jamvini ambae anatumia nadharia za 'Ndivyo Tulivyo.'
Wangejua maana yake wasingeitumia. I venture to say that hata Nyani Ngabu mwenyewe sijui kama anaelewa maana yake.
Dr. Watson alikuwa anamaanisha kwamba Weusi, Kibaiolojia, tumeumbwa na nati luzi kichwani. Wanaompinga Dr. Watson sio Waafrika peke yao, ila pamoja na Wazungu wenzie, Wanasayansi, wakimwambia Genetics haisemi hivyo. Hakuna wenye akili kuliko wengine, as a racial or geographic group. Na wanao msapoti DR. Watson na Nyani Ngabu ni wale wasiojua Genetics.