Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,932
Anazidiwa miaka zaidi ya 40 Na mzeefirst lady mbona anainekana kijana sana? wanapishana miaka mingapi?
Anazidiwa miaka zaidi ya 40 Na mzeefirst lady mbona anainekana kijana sana? wanapishana miaka mingapi?
Baba mchungaji unatafuta nini huku??? Umeandaa neno la kesho??Hicho kisu kuna watu wanasubiri mzee aanguke wajitwalie
kweli kazidiwa miaka zaidi ya 40!!!, na alinza kama mchepuko wa Mugabe japokuwa alikua ameolewa na jamaa mwingine,..Anazidiwa miaka zaidi ya 40 Na mzee
Weka link mkuukweli kazidiwa miaka zaidi ya 40!!!, na alinza kama mchepuko wa Mugabe japokuwa alikua ameolewa na jamaa mwingine,..
imebidi nimtimbie Google kumcheki historia yake, nimekuta ana maskendo mengine kibao
Huyo Grace Ana maskendo mengi sana Mzee anamvumilia tukweli kazidiwa miaka zaidi ya 40!!!, na alinza kama mchepuko wa Mugabe japokuwa alikua ameolewa na jamaa mwingine,..
imebidi nimtimbie Google kumcheki historia yake, nimekuta ana maskendo mengine kibao
Miaka 40 kama sijakoseafirst lady mbona anainekana kijana sana? wanapishana miaka mingapi?
...Waswahili wanasema kila mbabe anambabe wake...
View attachment 332601