Mugabe aluvyonuniwa na Mkewe

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,397
9,246
Waswahili wanasema kila mbabe anambabe wake...
1458973011160.jpg
 
Kwana lazima awe amemnunia Mgabe?
Huenda kuna jabo la kukera (ambalo halijasababishwa na Mgabe) wanalijadili
 
Babu yupo na mjukuu wake bana, kumbe maisha ni simple sana ili mradi usiwe serious sana maana wenzako watakutumia vizuri sana
 
Historia ya chini kapeti kuhusu huyu first lady na Mugabe inautata kidogo. Wanasema huyu mama enzi hizo alivyokuwa dogodogo alikuwa mali za mtu wa karibu sana na Mugabe. Sasa Mzee Jongwe akaitamani hii ngoma, ikabidi dogo apewe scholarship Marekani kwa miaka kadhaa ndio hapo babu akapata nafasi ya kula mzigo, tena sio kisirisiri ilikuwa mambo hadharani. Wanasema jamaa hata baada ya kumaliza kilichompeleka Marekani hakurudi tena Harare kwa kuhofia usalama wake.
 
Sema huyu jamaa wa nyuma sijui mlinzi huyu, anaonekana kamaindi sana. Angepewa ruhusa na Mzee Jongwe angempa makofi huyu mama...Cheki

12321528_10153884016876001_4033735383225725121_n.jpg
 
Back
Top Bottom