Mugabe akiri kutorosha fedha nje ya nchi

Mugabe akiri kutorosha fedha nje ya nchi

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
Kiongozi huyo wa zamani wa ana nyumba kadhaa za kifahari nje ya Zimbabwe, na alikodisha nyumba kwa gharama ya dola 500,000 (laki tano) za Marekani kwa mwaka kwa ajili ya kijana wake Robert Mugabe Jr aliyekuwa akisoma nchini Dubai. Na alimkodishia nyumba ya mamilioni binti yake aliyekuwa masomoni Hong Kong.

Chanzo: MWANANCHI
 

Attachments

  • IMG_20180323_074822.jpg
    IMG_20180323_074822.jpg
    212.1 KB · Views: 34
Bashite nasikia hekalu lake pale mwanza limesimama tayari.
Miti imeletwa kutoka Malaysia
 
Kumbe yupo vizuri katika matumizi ya pesa
 
Ndio maana hakuwa tayari kuondoka.
 
Nahyo ndyo sababu dubai inazidi kutajirika huku zimbabwe inazidi kufilisika
 
Back
Top Bottom