Mufti Zuberi: Bakwata ndiye msimamizi na msemaji mkuu wa waislamu na Uislamu nchini Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,314
142,513
Mufti Abubakar Zuber amesema Bakwata siyo taasisi bali ni kongamano la waislamu wote nchini.
Bakwata haiwezi kufananishwa na taasisi yoyote kwa kuwa ndio yenye jukumu la kuwasemea waislamu wote zikiwemo taasisi za kiislamu.

Mufti Abubakar amewataka waislamu wote kuiheshimu Bakwata na kutii maagizo yake.

Source TBC
 
BAKWATA imesajiliwa kama taasisi nyingine zilivyosajiliwa, haiwezi kujivika majukumu ya kusemea Waislamu wote.
Itasemea wale tu watakaoiunga mkono!
Hujaelewa alichomaanisha.
Amemaanisha kwamba Bakwata sio NGO au sio kampuni Kama ilivyo kwa ngo zingine.
Bali ndio kiwakilishi Cha waislam wote nchini.
Yaani ni Kama kumkataa mzazi wako au kumkana mzazi wako lkn bado atabaki kuwa mzazi kwa sababu ameshakuzaa huwezi kuufuta undugu wenu.
 
Mufti Abubakar Zuber amesema Bakwata siyo taasisi bali ni kongamano la waislamu wote nchini.
Bakwata haiwezi kufananishwa na taasisi yoyote kwa kuwa ndio yenye jukumu la kuwasemea waislamu wote zikiwemo taasisi za kiislamu.

Mufti Abubakar amewataka waislamu wote kuiheshimu Bakwata na kutii maagizo yake.

Source TBC
Anaumwa huyu,siku ccm inatoka madarakani na bakwata inakufa hapo hapo.
Unakuaje msemaji na huku hamna elimu?
 
Hujaelewa alichomaanisha.
Amemaanisha kwamba Bakwata sio NGO au sio kampuni Kama ilivyo kwa ngo zingine.
Bali ndio kiwakilishi Cha waislam wote nchini.
Yaani ni Kama kumkataa mzazi wako au kumkana mzazi wako lkn bado atabaki kuwa mzazi kwa sababu ameshakuzaa huwezi kuufuta undugu wenu.
Hakika mkuu!
 
Bakwata mzazi wa nani?

waislam wa nchi hii hawajawahi kua na mzazi Bakwata, na hata zanzibar hakuna bakwata kabisa, iweje wajidai kua wao ndio wasimamizi wa waislam \Tanzania.

sheikh na bakwata waumwa
 
Back
Top Bottom