uko sahihi sheikh BAKWATA ni dumavu tangu ilipoasisiwa miaka ya uhuru, ila unapoilaumu na kuishangaa inabidi ujuwe yafuatayo:Bakwata ni taasisi iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria za nchini tanzania inakatiba yake na miongozo yake juu ya uendeshaji dini ya uislam.nchi yetu inaruhusu uhuru wa kuabudu kwa kila raia wake ilimladi hauvunji sheria za nchi.
BAKWATA siyo UISLAM bakwata ni taasisi kama zilivyo taasisi nyingine za ALHIKMA,ANSARI SUNNA.SALAFY.ISLAMIC F.hizi taasisi zote zina waislam wanaowaongoza kwa taratibu wanazozifaham wao kwa elimu waliyokuwa nayo.Bakwata wanapoendesha shughur zao waendeshe wanavyotaka wao tumewaacha na misikiti yao na madrasa zao
inaumiza sana kuona chombo kilichokuwa cha mwanzo hapa tanzania kusajiliwa leo hakina maendeleo yoyote zaidi ya kutumika kuudumaza uislam kilal kukicha.hatufurahi kuona waislam tumeshindwa kuwa na hospitar zetu zinazoendeshwa kwa taratibu za dini.tumeshindwa kuwalipa mishahara walimu wa madrasa zetu.tumekalia kuangalia suruali fupi na ndefu,mfuga ndevu na asiyefuga ndevu,kaswali leo iddi ataswali kesho idi.Bakwata fanyeni yenu nasisi tunafanya yetu hatupaswi kukaa majukwaani na kulishiana vitisho
wapi kasema ataroga acha uzushiNi Tanzania pekee ndio utasikia Mufti akitishia kuwaroga waumini huku Serikali ikikenua na kugonga glassi
Muda wote wapi na BASHITE unafikiri fikra zake zitakuaje?Mtumeee..! Muft anaongea kama Magufuli au wakuu wa mikoa.
Unaweza sema kiongozi wa BAKWATA kaandikiwa hotuba na BASHITE.
Sasa ni mwendo wa kupotea ukikosoa BAKWATA.
Nchi imejamba hii tena shuzi mtengua udhu kabisa.
Hiv kwann WAISLAMU wengi waliosoma huwa wanatofautiana na BAKWATA????
Mjanja...hii thread inayohusu Bakwata mbona ipo jukwaa la siasa? au kuna kahusiano?
kumbe Bakwata imeanzishwa na serikali, nazidi kushangaa tu mimi.Mjanja...
BAKWATA imeanzishwa na serikali na serikali ndiyo siasa yenyewe.
EAMWS ndiyo iliunganisha madhehebu yote ya Kiislam ikafungiwa na aliyeiasisi Bakwata. "Divide and rule".Naomba ufafanuzi zaidi na wala siyo namvunjia adabu Mufti....
Je itakuwa sawa kwa Ansar Sunna kufunga au kuswali kwa kufuata mwezi wa kimataifa
Vipi kuhusu hawa Ibadhi hawafungi mikono wakati wa swala
Shia wanachanganya swala nao pia itakuwaje
Mbona hatuna hata Sheikh mmoja wa Mkoa Mshia au Bohora
Mbona watendaji woote wa Bakwata ni wa dhehebu moja tu...
Tushikane na kamba ya ALLAH na wala tusifarakane na tuendelee kumcha ALLAH kwa kumtwii na pia kumtwii Mtume wake (SAW) na walioko kwenye Mamlaka
Wangekuwa wanapokea ushauli ungesaidia kujenga na kuendeleza uislam.serikali haitaki viongozi wa BAKWATA wenye elimu nzuri ya dini na kisekula.wao wanapenda tuongozwe na viongozi ambao wakikaa nao kwenye vikao watakachosema serikali basi kiwe hichohicho.uko sahihi sheikh BAKWATA ni dumavu tangu ilipoasisiwa miaka ya uhuru, ila unapoilaumu na kuishangaa inabidi ujuwe yafuatayo:
i)ndio msimamizi mkuu wa masuala ya Uislam nchini haijalishi dhehebu gani
ii)kusema ni sawa na taasisi zingine itakuwa umekosea na kuidhalilisha kwa kiwango hali ya juu, kumbuka serikali haisajili taasisi yoyote ya Kiislam bila katiba yake kupitiwa na BAKWATA.
III)iltaka kujenga taasisi za elimu na afya lakini ilizuiwa na serikali ya rais yule ambaye alitaka kila kitu cha umma na sio binafsi
iv)kuilaumu leo kwa makosa ya nyuma itakuwa huisaidii bali ni kuikandamiza tu kama una ushauri peleka.
Kijana inainekana hujui maneno ya kiutu uzimawapi kasema ataroga acha uzushi
Mjanja...kumbe Bakwata imeanzishwa na serikali, nazidi kushangaa tu mimi.
Shukran kwa majibu yako,je hivyo ndivyo BAKWATA inavyo amini,kama nilivyo muelewa MUFTI itakuwa kosa yoyote yule awe Shia,Answar nk..nk...kutangaza mwezi isipokuwa yeye tu.swali lako la kwanza kama mwezi umeoneka sehemu yoyote wanaruhusiwa kufunga au kufungua sio bakwata wanavyotaka wao kufungua mpaka rais au waziri awe na nafasi ya kuhudhuria sherehe ya eid ndio wapange. swali la pili kufunga mkono na kufungua hakuna tatizo lolote hata ansar sunna anaweza kufungua mikono na sala ikawa ipo pale pale.swali la tatu shia wanachanganya swala, ndugu yangu shia hawapo katika uislamu wao na makatoliki wapo sawa . mfano huwezi wewe umtukane mke wa rais makufuli halafu rais makufuli akupende sio rahisi. mashia wanamtukana mke wa mtume bibi aisha halafu vipi wawe kipenzi wa mtume wanawatukana maswahaba marafiki wa mtume vipi wawe waislamu unaweza ukatamka ashhadu leo kesho bila wewe kujua ukawa kafiri kwa maneno yako na matendo yako. pia hatuwezi kuongozwa na mshia au bohora maana hao wawili wanafanana tabia zao
Sema Neno Na Roho Zipate Kupona
Itapendeza Ukitiririka Hapa Ama Kufungua Thread Kwaajili Ya Kiongozi Huyo
Swadakta!!! Huyu anakwazwa Sana na wale wanaokula Eid siku tofauti na ile inayotangazwa na BAKWATAKila mtu ana tafsiri yake kama alivyosema, ila kuitaka serikali imuelewe, tafsiri yangu ni kwamba serikali ishiriki katika kuwadhibiti watakaoshindwa kuiheshimu BAKWATA
Hiv kwann WAISLAMU wengi waliosoma huwa wanatofautiana na BAKWATA????
Wamejua siri kuwa inatumika...Hiv kwann WAISLAMU wengi waliosoma huwa wanatofautiana na BAKWATA????