Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Lini? Tarehe 25/03/2011
Wapi? Viwanja vya Biafra, Kinondoni.
Alisema nini?
- ameamua kuvunja ukimya na kuwaambia waislamu kote nchini umefika wakati wa kufanya mashambulizi dhidi ya watu ambao watabainika wanawakandamiza waislamu na uislamu nchini
Kulikuwa na pumba zozote kwenye mawaidha ya Mufti?
Ndiyo. Zilikuwepo.
pale aliposema ati waislamu ndiyo walisimama kidete katika kuhakikisha watanzania wanapata uhuru wao na walijitolea kwa hali na mali ikiwemo kutoa vijiwe vyao vya kahawa kwa ajili ya wapigania uhuru.
Chanzo cha habari hii ni wewe Jerusalem au ? Maana Angalia usije ukapigwa ban!! ohoo!
Yerusalema niko smart. Sipendi majungu, na siku zote niko updated na mabreking news. Hii habari nimeitoa gazeti la Jamba Leo. ukurasa wa 5, culumn mbili za upande wa kulia.

Source ya hilo gazeti nadhani HAKUNA GAZETI TAJWA KWA JINA HILO, umeleta mada vizuri lkn umepotoka na kuharibu.
= ilmu + bangikufanya mashambulizi
Bwahahahaaaa Gazeti la Riz1 & Co hiliJamba Leo.
ngoja nimalizie fegi yangu nitakuja kurekebisha badaye. Nahis kuna taipingi era.
Lkn usifikisri huu ni udaku
Angalia 'kiwingereza' chao sasa:
Muwe makini sana hususan mnapojadili haya masuala ya kiimani. Kwani ni khatari sana haya. msifanye mzaha