Mufindi

Mufindi

nelvine

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
1,114
Reaction score
1,879
Hii ni hali ya hewa kwasasa Kibao Mufindi, Hii ni saa saba mchana.

Karibuni kwa utalii wa ndani.
FB_IMG_15943853286552804.jpg
 
Napajua kibao.
Nilisimamia mtihani kidato Cha nne miaka 9 ilopita kibao sec, japo ilikuwa October lakini baridi ilikuwa Kali tulikuwa tunaidhibiti kwa konyagi baada ya kazi.
Safi sana

Ova
 
Napajua kibao.
Nilisimamia mtihani kidato Cha nne miaka 9 ilopita kibao sec, japo ilikuwa October lakini baridi ilikuwa Kali tulikuwa tunaidhibiti kwa konyagi baada ya kazi.
Kiukweli miezi hii iringa, njombe na mbeya kwa uku kusini ni hatari
 
Back
Top Bottom