Mufindi

Mufindi

Ulanzi(pombe ya mianzi) na kigae(jiko la mkaa) ni entanglement
 
Ni Igowole!...hakufai kote huko...changamoto saa1jioni ikukute sehemu inaitwa Makambako[emoji1732]
[emoji23][emoji23][emoji23] Makambako sio kwa ule upepo aiseee, kuna siku nimefika pale saa mbili hiv usku natafuta usafir wa kurud mafinga, nilijuta
 
Hapo serengeti lite ni kama unakunywa soda tu kwa baridi hio ni Faru John, Sprit, Whiskey na vodka ndo unaeza pambana na huo msala ila beer haifui dafu apo
Uku ni mwendo wa konyagi, kvant na vodca
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Makambako sio kwa ule upepo aiseee, kuna siku nimefika pale saa mbili hiv usku natafuta usafir wa kurud mafinga, nilijuta
Kwanza miaka hii hakuna baridi...miaka ya 1990-2000 sikuwahi ona jua liwake walau siku 3! No...ni.mwendo wa nyahenge na mawingu makubwa na barafu...wanaoishi huko nw hawana Ile kashikash ya miaka Ile!ilikua tabu Sana...ndo maana wengi walikua wanaishia njiani esp shule
 
Kila December nikiwa vyema huwa napenda kwenda Mufindi(Mtwango) ni jirani hapo Kibao
Kwa kweli ni pazuri mno na hunipa kumbukumbu za utotoni

December 2019
IMG_20191225_132815.jpg
IMG_20181231_075501.jpg
IMG_20181231_182907.jpg
IMG_20181231_183407.jpg
IMG_20190102_184016.jpg
 
Nilikua hapo mafinga juzi kati.......mchana jua linawaka ila kuna baridi natetemeka hatari hadi nikakimbilia ndani ya nyumba kidogo nkapata nafuu
 
Dah sweet om, zero zero.
Hakika Mufindi kuzuri
Ziro ziro njia tatu huku unaenda Mgololo huku unaelekea Kibao huku unaelekea Sawala
Hahaaa pembeni pana nyama Choma fulani ya kienyeji [emoji39]
 
Back
Top Bottom