Mufindi

Mufindi

Napajua kibao.
Nilisimamia mtihani kidato Cha nne miaka 9 ilopita kibao sec, japo ilikuwa October lakini baridi ilikuwa Kali tulikuwa tunaidhibiti kwa konyagi baada ya kazi.

😄😄😄Hiyo ndo shule nilifaulu...bt sikwenda hapo dah...😄😄 Umenikumbusha mbaaaaaliii!..
 
Maisha hayo, hapana. Ni wakati gani utavaa nguo upendeze? Muda wote umevaa makoti makubwa na soksi mwanzo mwisho na mzula juu. Hali ya mwez December kwa huko ndiyo huwa nafuu. Kwa sasa June hadi August, hapafai kabisa
 
Back
Top Bottom